INEC Majina 649 ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Shinyanga Mjini August 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
INEC Majina 649 ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Shinyanga Mjini August 2024
INEC Majina 649 ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Shinyanga Mjini August 2024, Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Shinyanga Mjini anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba kazi ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki kuwa usaili utafanyika tarehe 04 Agosti, 2024 katika Ukumbi wa Chuo cha Serikali za Mitaa Kampasi ya Shinyanga kuanzia saa 1:30 asubuhi.
Waombaji wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:
- Usaili utafanyika tarehe 04 Agosti, 2024 katika Ukumbi wa Chuo cha Serikali za Mitaa Kampasi ya Shinyanga kuanzia saa 1:30 asubuhi.
- Kila mwombaji anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. Vitambulisho vinavyokubalika ni Pamoja na; Kitambulisho cha NIDA, Kitambulisho cha Mpiga Kura, Kitambulisho cha Mkazi, Hati ya Kusaifiria, Leseni ya Udereva na Barua ya Utambulisho kutoka Serikali ya Kijiji/Mtaa.
- Kila mwombaji atajigharamia chakula, usafiri na malazi.
Kila mwombaji azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili. - Kila mwombaji aje na kalamu ya bluu au nyeusi kwa ajili ya usaili wa maandishi.
- Waombaji wa kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia masharti ya tangazo husika.
Orodha ya waombaji wanaoitwa kwenye usaili imeambatishwa kwenye PDF hapa chini;
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA KUITWA KWENYE USAILI JIMBO LA SHINYANGA MJINI AUGUST 2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: INEC Majina 649 ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Shinyanga Mjini August 2024