INEC Majina ya Walioitwa kwenye Mafunzo Jimbo la llemela August 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
INEC Majina ya Walioitwa kwenye Mafunzo Jimbo la llemela August 2024
INEC Majina ya Walioitwa kwenye Mafunzo Jimbo la llemela August 2024, Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la llemela kwa mamlaka aliyopewa na Kanuni ya 11 (1) ya Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura za Mwaka 2024 amefanya uteuzi wa Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki katika ngazi ya vituo kufuatia usaili uliofanyika tarehe 5 Agosti 2024 katika shule ya Sekondari Buswelu.
Kufuatia uteuzi huo, Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki walioteuliwa wanataarifiwa kuwa mafunzo kwaajili ya kuwajengea uwezo ili waweze kutimiza majukumu yao yatafanyika kwa siku mbili mfululizo yaani tarehe 18 na 19 Agosti 2024 kuanzia saa 2.00 asubuhi katika majengo ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Mwanza kilichopo eneo la Kangae.
Orodha ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki ambayo pia imejumuisha Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki wa akiba (reserves) imeambatishwa pamoja kwenye PDF hapa chini;
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: INEC Majina ya Walioitwa kwenye Mafunzo Jimbo la llemela August 2024