INEC Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Jimbo la Magu August 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
INEC Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Jimbo la Magu August 2024
INEC Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Jimbo la Magu August 2024, Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Magu anawatangazia Waandishi wasaidizi na Waendeshaji wa vifaa vya Bayometriki (BVR) waliopita kwenye usaili kuhudhuria mafunzo kwa ajili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura Jimbo la Magu.
INEC Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Jimbo la Magu August 2024
Kwa mwaliko huu, nawajulisha kuwa mafunzo hayo yatafanyika kwa muda wa siku mbili (2) tarehe 18-19 Agosti, 2024 kuanzia saa 02:00 asubuhi katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Magu.
Orodha ya majina ya Waandishi wasaidizi na Waendeshaji wa vifaa vya Bayometriki waliochaguliwa baada ya usaili yameambatishwa kwenye PDF hapa chini;
BONYEZA HAPA KUONA MAJINA
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: INEC Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Jimbo la Magu August 2024