INEC Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Sengerema District Council August 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
INEC Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Sengerema District Council August 2024
INEC Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Sengerema District Council August 2024,Afisa Mwandikishaji Jimbo la Sengerema anawapongeza na kuwataarifu wale wote waliofaulu Usaili wa nafasi ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura 2024 uliofanyika kuanzia tarehe 05/08 – 07/08/2024 kufika kwenye mafunzo.
Pia anawataarifu kuwa mafunzo hayo yatafanyika tarehe 18/08 19/08/2024 katika Ukumbi wa Sengerema Sekondari kuanzia saa mbili kamili asubuhi (2:00 am).
Orodha ya waliofaulu na kuchaguliwa imeambatishwa kwenye PDF hapa chini;
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA KUITWA KAZINI INEC JIMBO LA SENGEREMA AUGUST 2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: INEC Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Sengerema District Council August 2024