INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Kishapu August 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Kishapu August 2024
INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Kishapu August 2024, Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Kishapu anawatangazia waombaji waliochaguliwa kwa nafasi ya Wandishi wasaidizi na Waendeshaji wa vifaa vya Bayometriki kwaajili ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, kufika siku ya Jumapili tarehe 4 Agosti 2024 saa 1:30 Asubuhi katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Kishapu, kwa ajili ya usaili wa nafasi walizochaguliwa.
Kila Msailiwa anatakiwa kufika na kitambulisho kwaajili ya utambuzi.
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na kitambulisho cha NIDA, kitambulisho cha Mpiga Kura, Hati ya Kusafiria, Leseni ya Udereva au barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa.
- Kila msailiwa atajigharamia chakula, usafiri na malazi.
- Kila msailiwa anapaswa kuzingatia tarehe, muda na mahali pa usaili.
- Kila msailiwa anapaswa kuja na kalamu (pen) ya rangi ya bluu/nyeusi kwaajili ya kuandikia
- Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia masharti yatakayowekwa.
Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatishwa kwenye PDF hapa chini;
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA KUITWA KWENYE USAILI JIMBO LA KISHAPU AUGUST 2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Kishapu August 2024