INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Kwimba na Sumve August 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Kwimba na Sumve August 2024
INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Kwimba na Sumve August 2024, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na mchakato wa uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi ya mwaka 2024.
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Kwimba na Sumve anawataarifu Waombaji wa Nafasi za Muda katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mwaka 2024, kuwa Waombaji Walioteuliwa kwenye Jedwali wanatakiwa kufika kwenye Usaili wa Nafasi za Mwandishi Msaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki (BVR-Operators} utakaofanyika tarehe 05/08/2024 kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Usaili utafanyika Kitarafa katika vituo kama ilivyoainishwa kwenye Orodha ya Wasailiwa iliyoambatanishwa na Tangazo hili:-
- Kata ya Lyoma na Walla watafanya usaili Tarafa ya Ngudu.
- Kata ya Shilembo watafanya usaili Tarafa ya Nyamilama.
- Utajigharamia Chakula, Usafiri na Malazi.
- Wasailiwa wote mnakumbushwa kuzingatia mpango wa Kata zilizoainishwa kwenye Tarafa kama ilivyoainishwa kwenye Jedwali la
- Kila Msailiwa atatakiwa kuwa na Kitambulisho wakti wa Usaili.
- Vitambulisho vinavyokubalika ni Kitambulisho cha NIDA; Kadi ya Mpiga Kura; Leseni ya Udereva; Hati ya Kusafiria
- Waombaji ambao majina yao hayakuonekana kwenye orodha hii, wajue hawakufaulu na hivyo waendelee kuongeza sifa na vigezo kwa mazoezi mengine yatakapotangazwa.
Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatanishwa Kwenye PDF hapa chini!
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA KUITWA KWENYE USAILI JIMBO LA KWIMBA NA SUMVE AUGUST 2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Kwimba na Sumve August 2024