RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo La Magu August 2024

Filed in Ajira by on 03/08/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo La Magu August 2024

INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo La Magu August 2024

INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo La Magu August 2024

INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo La Magu August 2024,Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na mchakato wa uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi ya mwaka 2024.

Afisa Mwandikishaji Wa Jimbo La Magu anawatangazia waombaji wa kazi za Waandishi Wasaidizi na Waendesha vifaa vya bayometriki kupitia Jimbo la Magu wanaitwa kwenye usaili utakaofanyika tarehe 07.08.2024 Shule ya Sekondari Magu day halmashauri ya wilaya ya Magu kuanzia saa 1.30 asubuhi.

Aidha mnajulishwa kuja na Vitambulisho.

  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na: Kitambulisho cha NIDA,
  • Kitambulisho cha mpiga kura, Kitambulisho cha mkaazi, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva na Barua ya utambulisho toka serikali ya kijiji/mtaa.
  • Kila msailiwa atajigharamia chakula, usafiri na malazi.
  • Kila msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Kila msailiwa aje na kalamu nyeusi au buluu kwa ajili ya usaili wa maandishi.

Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatanishwa kwenye PDF hapa chini!

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA KUITWA KWENYE USAILI JIMBO LA MAGU AUGUST 2024

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.