INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Msalala August 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Msalala August 2024
INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Msalala August 2024, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na mchakato wa uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi ya mwaka 2024.
Afisa Mwandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura wa Jimbo la Msalala, anapenda kuwatangazia waombaji wote waliomba kazi ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki (BVR) kuwa Usaili unatarajiwa kuendeshwa tarehe 05 Agosti, 2024 kuanzia saa 1:30 Asubuhi katika vituo vilivyopangwa kama ifuatavyo:-
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na: Kitambulisho cha NIDA,
- Kitambulisho cha mpiga kura, Kitambulisho cha mkaazi, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva na Barua ya utambulisho toka serikali ya kijiji/mtaa.
- Kila msailiwa atajigharamia chakula, usafiri na malazi.
- Kila msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
- Kila msailiwa aje na kalamu nyeusi au buluu kwa ajili ya usaili wa maandishi.
Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatanishwa na tangazo hili.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA KUITWA KWENYE USAILI JIMBO LA MSALALA AUGUST 2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Msalala August 2024