INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Sengerema August 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Sengerema August 2024
INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Sengerema August 2024,Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na mchakato wa uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi ya mwaka 2024.
Afisa Mwandikishaji Jimbo la Sengerema anawataarifu wale wote walioitwa kwenye Usaili wa nafasi ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga kura 2024 kwamba, Usaili utafanyika kuanzia tarehe 05/08-07/08/2024 kama ifuatavyo:
Kwa wale wote waliotwa kwenye usaili wa nafasi ya Waandishi Wasaidizi ukumbi utakua SENGEREMA SEKONDARI na waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki ukymbi utakua SLEM-BUKALA STAND MPYA SENGEREMA
Aidha mnajulishwa kuja na Vitambulisho.
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na: Kitambulisho cha NIDA,
- Kitambulisho cha mpiga kura, Kitambulisho cha mkaazi, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva na Barua ya utambulisho toka serikali ya kijiji/mtaa.
- Kila msailiwa atajigharamia chakula, usafiri na malazi.
- Kila msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
- Kila msailiwa aje na kalamu nyeusi au buluu kwa ajili ya usaili wa maandishi.
Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatanishwa Kwenye PDF hapa chini!
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA KUITWA KWENYE USAILI JIMBO LA SENGEREMA AUGUST 2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Sengerema August 2024