INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Shinyanga DC August 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Shinyanga DC August 2024
INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Shinyanga DC August 2024, Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na mchakato wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura.
Kwa mujibu wa sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani namba 2 ya Mwaka 2024, kanuni ya 12 Kifungu kidogo cha 1(b- f) Mkurugenzi wa Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga awatangazia waombaji waliochaguliwa kwa nafasi ya Waandikishaji Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki kwaajili ya uboreshaji wa wa Daftari la kudumu la Wapiga kura kufika kwenye maeneo ya Vituo vya Usaili kwa tarehe iliyoainishwa saa 02.00 asubuhi kwaajili ya usaili wa nafasi walizochaguliwa.
Ratiba ya Mgawanyo wa Vituo vya Usaili na Orodha ya Waombaji kulingana na Vituo walivyochaguliwa imeambatishwa kwenye PDF hapa chini;
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA KUITWA KWENYE USAILI INEC JIMBO LA SHINYANGA VIJIJINI
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Shinyanga DC August 2024