INEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Muleba July 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
INEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Muleba July 2024
INEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Muleba July 2024,Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Zoezi la Uboreshaji Wa Daftari La Kudumu La Wapiga Kura 2024, Kuitwa Kwenye Mafunzo Ajira za INEC Jimbo la Muleba Kaskazini na Kusini, Kuitwa Kazini Ajira za INEC 2024 Muleba DC.
- MAJINA ya Waliochaguliwa Ajira za NEC 2024
- INEC Ratiba ya Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura 2024/2025
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Muleba Kaskazini na Kusini anapenda kuwatangazia kwamba Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki walioshinda usaili, wanatakiwa kuhudhuria mafunzo.
Mafunzo yatafanyika kwa siku mbili (2) tarehe 01 – 02/08/2024 kuanzia saa 1:30 asubuhi kwa utaratibu ufuatao:-
- Wana mafunzo wanaotoka katika Tarafa ya Kamachumu na Izigo pamoja na kata za Rutoro, Ngenge, Nyakatanga na Mushabago mafunzo yatafanyika katika ukumbi wa Suzana Hotel (Muleba Mjini) kuanzia saa 1:30 asubuhi.
- Wana mafunzo wanaotoka katika Tarafa ya Kimwani na Muleba pamoja na kata za
Kabirizi, Kishanda, Nshamba,
Biirabo, Buganguzi, Ijumbi na Kashasha mafunzo
yatafanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari
Kishoju kuanzia saa 1:30 asubuhi.
Aidha, katika mafunzo unatakiwa kufanya yafuatayo:-
- Kila mwana mafunzo anapaswa kuwa na kitambulisho kwaajili ya utambuzi.
- vitambulisho vinavyokubalika
ni pamoja na:- Kitambulisho cha NIDA, Kitambulisho cha Mpira kura, Kitambulisho cha Mkazi, Hati ya Kusafiria, Leseni ya Udereva na Barua ya Utambulisho toka Serikali ya Kijiji kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji, kwa watumishi wa Umma awe na kitambulisho cha kazi. - Kila mwana mafunzo azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia mafunzo.
- Wasailiwa ambao majina yao hayakuonekana katika
tangazo hili ifahamike kuwa hawakufaulu usaili. - Orodha ya walioitwa
kwenye imeambatanishwa kwenye PDF hapa chini;
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: INEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Muleba July 2024, Kuitwa Kazini Ajira za INEC 2024 Muleba DC., Kuitwa Kwenye Mafunzo Ajira za INEC Jimbo la Muleba Kaskazini na Kusini, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Zoezi la Uboreshaji Wa Daftari La Kudumu La Wapiga Kura 2024