INEC Walioitwa kwenye Usaili Ikungi District Council
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Singida Mashariki na Singida Magharibi anapenda kuwatangazia wananchi wote waliotuma maombi ya kazi ya muda ya Mwandishi Msaidizi na BVR Kit Operators kupitia Tangazo la tarehe 15 Aprili, 2024 lililotolewa na Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kuwa uchambuzi umefanyika hivyo usaili wa nafasi hizo utafanyika kwa wale ambao majina yao yameorodheshwa hapo chini kwa tarehe na mahali ambapo usaili utafanyika kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Aidha siku ya usaili wote wanatakiwa kufika na vitu vifuatavyo:-
- Vyeti vyote halisi (original) vilivyotumika kuambatisha nakala zake katika barua ya maombi ya kazi.
- Kitambulisho cha NIDA au kitambulisho chochote chenye jina na picha ya msailiwa.
DONWLOAD PDF KUITWA KWENYE USAILI INEC – IKUNGI DC