INEC Walioitwa kwenye Usaili Itigi District Council
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
Afisa Mwandikishaji Jimbo la Manyoni Magharibi anapenda kuwajulisha, wafuatao
wameitwa kwenye usaili wa Nafasi za Waandishi wasaidizi na Waendesha vifaa vya
BVR KIT (OPERATOR) katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura
utakaofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Itigi kuanzia tarehe
04/09/2024 hadi 06/09/2024 kama inavyoonekana hapa chini.
KUNDI A:
Kata za: Itigi Mjini, Itigi Majengo,Tambukareli, Sanjaranda, Kitaraka, Ipande, Aghondi
na Idodyandole Waombaji kutoka Kata tajwa hapo juu wanatikiwa kufika tarehe 04/09/2024 saa 2:00 Asubuhi katika ukumbi wa Shule ya Itigi Sekondari kwa ajili ya Usaili
KUNDI B:
Rungwa, Mwamagembe, Kalangali, Mitundu na Mgandu Waombaji kutoka Kata tajwa hapo juu wanatakiwa kufika tarehe 06/09/2024 saa 2:00
Asubuhi katika ukumbi wa Ofisi ya Kijiji Mitundu kwa ajili ya Usaili.
Kuona Orodha ya Majina tafadhali Donwload PDF hapa chini;
DONWLOAD PDF KUITWA KWENYE USAILI INEC JIMBO LA MANYONI