RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


INEC Walioitwa kwenye Usaili Mkalama District Council

Filed in Ajira by on 03/09/2024 0 Comments
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

INEC Walioitwa kwenye Usaili Mkalama District Council

INEC Walioitwa kwenye Usaili Mkalama District Council

Kwa kuzingatia Kanuni 12 (b) ya Kanuni za uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura za mwaka 2024 pamoja na Tangazo la nafasi za kazi za muda za Watendaji wa vituo vya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura la tarehe 15 Aprili, 2024 linalohusu nafasi ya Mwandishi Msaidizi na Mwendeshaji wa vifaa vya Bayometriki (BVR).

Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Iramba Mashariki anapenda kuwatangazia Waombaji wa Kazi za Mwandishi Msaidizi na Mwendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki (BVR) waliokidhi vigezo kufika kwenye usaili.

MAELEKEZO YA JUMLA KWA WASAILIWA WOTE

Usaili wa mahojiano utafanyika kuanzia tarehe 04 Septemba, 2024 kuanzia Saa 2:00 asubuhi kwa mchanganuo ufuatao;

  • Wasailiwa kutoka Kata ya Mwangeza, Nkinto na Mwanga watafanya usaili tarehe 04/09/2024 katika Shule ya Sekondari Mwangeza.
  • Wasailiwa kutoka Kata ya Ibaga, Mpambala, Gumanga na Matongo watafanya usaili tarehe 05/09/2024 katika Shule ya Sekondari Ibaga.
  • Wasailiwa kutoka Kata ya Iguguno, Tumuli, Kikhonda na Kinyangiri wafanya usaili tarehe 06/09/2024 katika Shule ya Sekondari Iguguno.
  • Wasailiwa kutoka Kata ya Nduguti, Msingi, Nkalakala, Miganga, Ilunda, na Kinampundu watafanya usaili tarehe 07/09/2024 katika Shule ya Sekondari Mkalama One.

Waombaji wote wanatakiwa kufika na vyeti halisi (original certificates).

Aidha atakayekuja na “Transcript” au “result slip” pekee bila vyeti halisi hataruhusiwa kufanya usaili.

Ofisi ya Afisa Mwandikishaji Jimbo la Iramba Mashariki haitahusika na gharama zozote za wasailiwa katika kipindi chote cha usaili (Usafiri, Chakula na Malazi)

Ofisi hii inawajulisha kuwa hakuna gharama yeyote inayohusiana na malipo ili kuitwa kwenye usahili, hivyo inawataadharisha kujiadhari na utapeli unaoweza kutokea na kupewa maelekezo mengineyo ambayo hayahusiani na usaili.

Orodha ya Majina ya wasailiwa imeambatanishwa kwenye PDF hapa chini;

DONWLOAD PDF KUITWA KWENYE USAILI INEC – MKALAMA DC

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *