KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

ISHU ya Mkataba Mpya wa Kibu Denis na Simba Iko hivi

Filed in Usajili, Michezo by on 03/05/2024 0 Comments

ISHU ya Mkataba Mpya wa Kibu Denis na Simba Iko hivi

ISHU ya Mkataba Mpya wa Kibu Denis na Simba Iko hivi

ISHU ya Mkataba Mpya wa Kibu Denis na Simba Iko hivi

ISHU ya Mkataba Mpya wa Kibu Denis na Simba Iko hivi, Kibu Dennis na klabu yake iko hivi mwanzoni Kibu alipewa ofa na Simba ya kulipwa milioni 8 mshahara mwezi na ada ya usajili milioni 180 ambazo aliambiwa zitalipwa kwa awamu tatu kitu ambacho wasimamizi wa Kibu walikataa.

Baada ya ofa hiyo kukataliwa Simba walienda na ofa ya pili ya mshahara wa milioni 10 na ada ya usajili ya milioni 200 ambazo aliambiwa atalipwa kwa awamu mbili ofa ambayo yeye Kibu alikubali kusaini mkataba huo meneja na kaka yake ndio walikataa wasubili kwanza.

Baada ya muda kwenda huku akiwa muda wa mkataba wake ukikaribia mwishoni Kibu alipokea ofa mbalimbali kutoka ndani na nje ya Tanzania ofa ambazo zilikuwa bora kuliko ya Simba baada ya Simba kujua hivyo ilimpa ofa ya tatu ya milioni 12 mshahara kwa mwenzi na milioni 300 ada ya usajili.

Ofa hiyo ya tatu ya Simba Kibu alikubali kila kitu na akawa tayari kusaini mkataba mpya kinachosumbua kwa sasa ni kuhusu milioni 300 kulipwa kwa awamu ngapi? Simba wamemwambia wamlipe kwa awamu 2 huku yeye akihitaji alipwe kwa awamu moja ndio mvutano ulipo.

Pia klabu ya Yanga baada ya kuona Kibu bado hajasaini Simba wamewasiliana na meneja wa Kibu na kupeleka ofa ya mshahara wa milioni 15 kwa mwezi na ada ya milioni 350 kwa masharti ya kulipwa milioni 200 awamu ya kwanza na milioni 150 awamu ya pili ili asaini mkataba wa miaka miwili.

Bado Kibu na meneja wake hawajaamua chochote kuhusu ofa ya Yanga ila mchezaji huyo amemwambia meneja wake na kaka yake kuwa anaipa nafasi kubwa Simba ya kusaini mkataba mpya wa miaka miwili iwapo Simba watakubali kumlipa ada ya usajili kwa awamu moja.

Kibu kwenda Yanga au kubaki Simba?

Chanzo: Yossima Sittar.

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *