JINSI ya Kuandika Barua ya Kuomba Passport ya Kusafiria
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
JINSI ya Kuandika Barua ya Kuomba Passport ya Kusafiria
JINSI ya Kuandika Barua ya Kuomba Passport ya Kusafiria, Naomba sample ya barua ya mwaliko ili niombe valid passport, PDF mwongozo wa huduma ya pasipoti na hati za kusafiria, PDFombi la pasipoti picha ya mwombaji,Tanzania Immigration Department, Tanzania Passport Application,Barua Ya Passport | PDF.
JINSI ya Kuandika Barua ya Kuomba Passport ya Kusafiria Download PDF
JINSI ya Kuandika Barua ya Kuomba Passport ya Kusafiria
HATI NYINGINEZO ZINAZOPASWA KUAMBATISHWA KWENYE OMBI
(A) SAFARI ZA BINAFSI
- Uthibitisho wa Shughuli za Mwombaji
- Barua ya Mwaliko au
- Tiketi ya Kwenda na Kurudi
- Idhini ya Mzazi/Mlezi halali kwa Mwombaji Chini ya Miaka 18
- Idhini ya Mwajiri kwa Waajiriwa
- Barua ya Ofisa Mtendaji Kata/ Sheha kwa Wasioajiriwa
(B) SAFARI ZA KIKAZI, MIKUTANO, TAMASHA NA KADHALIKA
- Barua ya Mwajiri/Kampuni/Shirika
- Barua ya Mwaliko
- Kitambulisho cha Mwombaji
(C) SAFARI ZA MASOMO
- Barua ya wito wa Shule/Chuo
- Vyeti vya Shule/Chuo
- Barua ya Mdhamini wa Masomo
- Uthibitisho wa Malipo kwa Wanaojitegemea.
- Idhini ya Mwajiri kwa Walioajiriwa
- Idhini ya Mzazi/Mlezi halali kwa
- Mwombaji chini ya miaka 18
(D) SAFARI ZA MATIBABU
- Barua kutoka kwa Daktari Mkuu wa Serikali au
- Uthibitisho wa Daktari aliyesajiliwa au
- Barua ya idhini kutoka Wizara ya Afya
(E) SAFARI ZA BIASHARA
- Hati iliyo hai ya Biashara
- Tiketi ya kwenda na kurudi
(F) SAFARI ZA AJIRA
- Uthibitisho wa barua ya Ajira/Mkataba wa Kazi au
- Tiketi ya kwenda na kurudi
- Barua ya Ofisa Mtendaji Kata/ Sheha wa sehemu anayoishi mwombaji
(G) SAFARI ZA MICHEZO
- Barua kutoka TFF au ZFA au
- Barua kutoka Chama chochote kilichosajiliwa rasmi kulingana na aina ya michezo na
- Barua ya Mwaliko
(H) SAFARI ZA KIDINI
- Barua ya Mwaliko
- Barua ya Dhehebu linalohusika
(I) SAFARI ZA MABAHARIA
- Mkataba wa Kazi au
- Kitambulisho cha Ubaharia au
- Vyeti vya Ujuzi au
- Barua kutoka Chama cha Mabaharia
TAHADHARI:
Mwombaji anaonywa kwamba iwapo itathibitika kwamba maelezo aliyotoa ni ya uongo, hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.
Malipo unayotoa unapochukua fomu hayatarejeshwa iwapo ombi lako halitakubalika.
MAELEZO MUHIMU
HATI ZA KUTOLEWA
- Cheti cha Kuzaliwa au Kiapo cha Kuzaliwa cha Mwombaji.
- Cheti cha Kuzaliwa au Kiapo cha Kuzaliwa cha Mmoja wa Wazazi wa Mwombaji.
- Ushahidi wa Uraia wa Mmoja wa Wazazi
- Cheti cha Uraia kwa waliopata Uraia kwa Tarijisi.
- Cheti au Kiapo cha Ndoa kwa Wanawake walioolewa na wanaotaka kubadilisha majina.
SHUHUDA KWA MWOMBAJI
Ombi lazima lishuhudiwe katika kifungu cha 6 na mmoja wa hawa; Jaji, Kabidhi Wasii, Hakimu,Wakili/Kamishna wa Viapo, akiwa yeye mwenyewe ni raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Shuhuda anatakiwa aandike nyuma ya nakala moja ya picha ya mwombaji maneno haya.
- ‘NASHUHUDIA KWAMBA PICHA HII NI SURA YA BWANA/BIBI/BI ……………na
kuweka saini yake na muhuri. - Picha
- Mwombaji anatakiwa kuleta nakala tano (5) za picha (Pasipoti) zenye rangi ya bluu bahari.
- Mwanamke aliyekuwa na pasipoti kabla ya kuolewa anaweza kupata pasipoti nyingine mpya
ikiwa yeye mwenyewe atataka.
VIELELEZO VYA ZIADA VINAVYOTAKIWA KUAMBATANA NA OMBI HILI
ANGALIA UKURASA WA 4.
HATI NYINGINEZO ZINAZOPASWA KUAMBATISHWA KWENYE OMBI
(A) SAFARI ZA BINAFSI
- Uthibitisho wa Shughuli za Mwombaji
- Barua ya Mwaliko au
- Tiketi ya Kwenda na Kurudi
- Idhini ya Mzazi/Mlezi halali kwa Mwombaji Chini ya Miaka 18
- Idhini ya Mwajiri kwa Waajiriwa
- Barua ya Ofisa Mtendaji Kata/ Sheha kwa Wasioajiriwa
(B) SAFARI ZA KIKAZI, MIKUTANO, TAMASHA NA KADHALIKA
- Barua ya Mwajiri/Kampuni/Shirika
- Barua ya Mwaliko
- Kitambulisho cha Mwombaji
(C) SAFARI ZA MASOMO
- Barua ya wito wa Shule/Chuo
- Vyeti vya Shule/Chuo
- Barua ya Mdhamini wa Masomo
- Uthibitisho wa Malipo kwa Wanaojitegemea
- Idhini ya Mwajiri kwa Walioajiriwa
- Idhini ya Mzazi/Mlezi halali kwa Mwombaji chini ya miaka 18
(D) SAFARI ZA MATIBABU
- Barua kutoka kwa Daktari Mkuu wa Serikali au
- Uthibitisho wa Daktari aliyesajiliwa au
- Barua ya idhini kutoka Wizara ya Afya
(E) SAFARI ZA BIASHARA
- Hati iliyo hai ya Biashara
- Tiketi ya kwenda na kurudi
(F) SAFARI ZA AJIRA
- Uthibitisho wa barua ya Ajira/Mkataba wa Kazi au
- Tiketi ya kwenda na kurudi
- Barua ya Ofisa Mtendaji Kata/ Sheha wa sehemu anayoishi mwombaji
(G) SAFARI ZA MICHEZO
- Barua kutoka TFF au ZFA au
- Barua kutoka Chama chochote kilichosajiliwa rasmi kulingana na aina ya michezo na
- Barua ya Mwaliko
(H) SAFARI ZA KIDINI
- Barua ya Mwaliko
- Barua ya Dhehebu linalohusika
(I) SAFARI ZA MABAHARIA
- Mkataba wa Kazi au
- Kitambulisho cha Ubaharia au
- Vyeti vya Ujuzi au
- Barua kutoka Chama cha Mabaharia
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Barua Ya Passport | PDF., JINSI ya Kuandika Barua ya Kuomba Passport ya Kusafiria, Naomba sample ya barua ya mwaliko ili niombe valid passport, PDF mwongozo wa huduma ya pasipoti na hati za kusafiria, PDFombi la pasipoti picha ya mwombaji, Tanzania Immigration Department, Tanzania Passport Application