JINSI ya Kuangalia Bima ya Gari kwa Simu
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
JINSI ya Kuangalia Bima ya Gari kwa Simu
JINSI ya Kuangalia Bima ya Gari kwa Simu, JINSI ya kuangalia bima ya gari kwa simu (Bima Verification),Kuangalia deni La Gari bima login, Uhai wa bima ya gari Kuangalia bima online, Jinsi ya kuangalia bima ya gari kwa simu pdf.
TIRA (Tanzania Insurance Regularatory Authority) ni taasisi inayo husika na BIMA zote tanzania. Taasisi hii imeundwa mwaka 2009 kwa lengo la kusimamia mawakala wa bima kufanya kazi kwa viwango vinavyo takiwa.
Kwa upande wa magari kuna bima aina mbili ambazo ni third party na comprehensive.
Third party ni bima nafuu ambazo kawaida kwenye magari mengi huwaga haizidi 150,000.Bima hii inakulinda wewe usipate madeni endapo utakua umegonga na kuaribu chombo cha mtu. Bima hii haitahusika na utengenezaji wa gari yako pindi umepata ajali.
JINSI ya Kuangalia Bima ya Gari kwa Simu
Comprehensive ni aina ya bima ya gharama kulinganisha na third party. Aina hii ya bima itaweza kukusaidia kutengeneza gari lako na la yule ambaye umemgonga. Makadirio ya gharama zake itategemeana na thamani ya gari lako au kiwango ambacho utataka ulipie kwa kuthaminisha gari lako.
Hali umeshaelewa hilo, basi unaweza tumia njia hii kujua gari hili kama bima yake inafanya kazi. Vile vile utajua kiasi kilicho lipiwa na wakala alietumia kukata bima hiyo. Kwa taarifa hizo utajua kama ni comprehensive au third party ndio iliokatwa.
Bofya hapo chini kisha jaza taarifa za namba ya gari lako upate taarifa zake
https://tiramis.tira.go.tz/
Jinsi ya kuangalia bima ya gari kwa simu mp3 download, Kuangalia bima ya pikipiki, TIRA insurance check,Bima Verification, Kuangalia bima ya gari kwa simu mp3 download, Kuangalia bima online registration, TIRA MIS hakiki STIKA ya Kuangalia bima online login,Bima ya gari Tanzania.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: JINSI ya Kuangalia Bima ya Gari kwa Simu, JINSI ya kuangalia bima ya gari kwa simu (Bima Verification), Jinsi ya kuangalia bima ya gari kwa simu pdf., Kuangalia deni La Gari bima login, Uhai wa bima ya gari Kuangalia bima online