RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


JINSI ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2024/2025

Filed in Ajira, Makala, Michezo, NACTE, TAMISEMI by on 02/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

JINSI ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2024/2025

JINSI ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2024/2025, Majina Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2024/2025, Form Five Selection 2024/2025 Tamisemi, TAMISEMI Selection 2024/2025, Jinsi ya Kuangalia Selection za Kidato cha tano 2024, Form Five Selection 2024/2025 Tamisemi, Selection za vyuo 2024/2025 | Majina waliochaguliwa kujiunga na vyuo 2024/2025, selection za vyuo 2024/2025,second selection 2024,Majina waliochaguliwa kujiunga na vyuo 2024/2025,necta selection 2024,selection za vyuo 2024/25,selection za vyuo vya kati,form four waliochaguliwa kujiunga na vyuo 2024,jinsi ya kuangalia selection za vyuo,selection 2024?

JINSI ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2024/2025

JINSI ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2024/2025, Majina Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2024/2025, Form Five Selection 2024/2025 Tamisemi, TAMISEMI Selection 2024/2025, Jinsi ya Kuangalia Selection za Kidato cha tano 2024,Post za Kidato cha tano 2024, Selection za Kidato cha Tano 2024.

Makala hii inahusuu uteuzi wa kidato cha tano 2024 hadi 2025 pia ina updates zote kuhusu uteuzi wa kidato cha tano kutoka TAMISEMI za Wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo mwaka wa masomo 2024/2025.

Zoezi la kuchagua wanafunzi wa kujiunga na kidato cha tano na vyuo kwa wahitimu wa kidato cha nne (kidato cha tano uteuzi 2024 hadi 2025) hufanyika baada ya kutangazwa kwa Matokeo ya Mtihani wa kidato cha Nne na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA).

Mwaka huu 2014 Matokeo ya kidato cha Nne yalitangazwa Januari 15, 2024 na Wanafunzi waliofaulu hupewa kipaumbele katika chaguzi hizo za kujiunga ama kidato cha tano au vyuo vya UMMA Serikalini.

Matokeo ya Uchaguzi wa Kidato cha Tano awamu ya kwanza 2024/2025 TAMISEMI yametangazwa leo Leo May 30-2024.

JINSI ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2024/2025

FORM FIVE SELECTION 2023 CLICK HERE

Jinsi ya kuangalia Selection za Form Five Online kwenye tovuti ya TAMISEMI au NECTA Tanzania.

Nchini Tanzania, matokeo ya mchujo wa kidato cha tano kwa kawaida hutolewa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kupitia tovuti yao rasmi.

Hapa kuna hatua zote za kuangalia Uchaguzi wa Kidato cha Tano Mtandaoni kwenye tovuti ya NECTA:

  1. Tembelea tovuti ya NECTA au TAMISEMI: Nenda kwenye tovuti rasmi ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwenye https://www.necta.go.tz/ au TAMISEMI https://www.tamisemi.go.tz/
  2. Tafuta sehemu ya Uchaguzi wa kidato cha tano: Katika tovuti ya NECTA au TAMISEMI, tafuta sehemu ambayo inahusiana haswa na uteuzi wa kidato cha tano.
  3. Hii inaweza kuandikwa kama “Uchaguzi wa Kidato cha Tano,” “Mgao wa Kidato cha Tano,” au similar
  4. Bofya link husika: Ukishapata sehemu ya Uchaguzi wa kidato cha tano, bofya link husikq ili kupata matokeo ya Uchaguzi.
  5. Weka taarifa zako: huenda ukahitajika kuweka taarifa zako za kibinafsi, kama vile nambari yako ya mtihani, au maelezo mengine ya kukutambulisha, ili kufikia matokeo ya Uchaguzi wa Kidato cha Tano. Toa taarifa sahihi zinazohitajika.
  6. Angalia matokeo: Baada ya kuingiza taarifa muhimu, sasa unaweza kutazama matokeo ya Uchaguzi wa kidato cha tano mtandaoni. Hii inaweza kujumuisha shule au taasisi ambayo Umechaguliwa, pamoja na taarifa nyingine yoyote muhimu kwaajili yako.
  7. Print au Save Matokeo: ni utaratibu mzuri Kuprint au Kusave nakala ya matokeo ya Uchaguzi wa Kidato cha Tano, kwani unaweza kuyahitaji kwa marejeleo ya baadae.

UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2024

CHAGUA MKOA ULIKOSOMA

ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA
GEITA IRINGA KAGERA
KATAVI KIGOMA KILIMANJARO
LINDI MANYARA MARA
MBEYA MOROGORO MTWARA
MWANZA NJOMBE PWANI
RUKWA RUVUMA SHINYANGA
SIMIYU SINGIDA SONGWE
TABORA TANGA

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , , , , , , , , , , ,

Comments (3)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Post za from 4 vyuo vyakati

  2. Zipo kaka unawaza nini