JINSI ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2024/25 Zanzibar
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
JINSI ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2024/25 Zanzibar
JINSI ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2024/25 Zanzibar,Makala hii inahusu uteuzi wa kidato cha tano 2024 hadi 2025, inayojulikana Kwa Jina La Watakaoingia Kidato Cha Tano 2024/25 Zanzibar.
- WALIOCHAGULIWA Kidato cha Tano Zanzibar 2024
- MAJINA 500 ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Jeshi la Magereza Tanzania June 03-2024
Zoezi la kuchagua wanafunzi wa kujiunga na kidato cha tano na vyuo kwa wahitimu wa kidato cha nne hufanyika baada ya kutangazwa kwa Matokeo ya Mtihani wa kidato cha Nne na Baraza la Mitihani Zanzibar (BMZ).
Kupitia Makala hii utapata Orodha yote ya Watakaoingia Kidato Cha Tano 2024/25 kama Wizara ya Elimu Zanzibar (MOEZ) Uchaguzi wa Kidato cha Tano Zanzibar 2024/25 ilivyotangaza.
Ili kupata Uchaguzi wa Kidato cha Tano Zanzibar 2024/25 pamoja na Watakaoingia Kidato Cha Tano 2024/25 Zanzibar Fuata miongozo hii hapa chini.
JINSI ya Kuangalia Majina ya Waliopangiwa Kidato Cha Tano 2024/25 Zanzibar.
Awali ya yote ili kupata Uchaguzi wa Kidato cha Tano Zanzibar au Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Skuli ya Kidato inabidi Ufahamu Mfumo wa Ugavi wa Sekondari Zanzibar (ZASA) ambapo utapata Orodha ya PDF Kwa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2024/25 Unguja pamoja na Pemba.
Ili Kupata Uchaguzi Zanzibar Kidato Cha Tano Fuata Maelekezo Yafuatayo Hapo Chini.
- Fungua Link ya WALIOCHAGULIWA Kidato cha Tano Zanzibar 2024
- Kumbuka kuhakikisha Kifaa chako kina Ufikiaji wa Mtandao Internet.
- Kisha bonyeza walipoandikwa bonyeza hapa kuona Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato Cha Tano 2024 Zanzibar.
- Kisha, jaza Taarifa Zinazohitajika kama inavyoonyeshwa hapa chini kwenye picha.
- Unaweza tafuta jina la Mwanafunzi Kwa kutumia jina la Shule aliyopangiwa.
- Unaweza tafuta jina la Mwanafunzi Kwa namba ya Mtihani.
- Taarifa hizo ni kama ikijumuisha Nambari yako ya Mtihani ya Kidato cha Nne.
- Nambari yako ya Mtihani wa Kidato cha Nne inaweza kujazwa kama inavyoonyeshwa kwenye Jedwali.S0000/0000/2029.
Zanzibar Secondary Advance System -Form Five Selection 2024/25 Uchaguzi wa Kidato cha Tano 2024/25 Zanzibar Umefanyika Mtandaoni Kupitia Mfumo wa Dijitali ujulikanao kama Zanzibar Sekondari Advance System Ambayo Orodha ya Watakaoingia Kidato Cha Tano 2024/25 Kwa Skuli Zote Pemba na Unguja.
JINSI ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2024/25 Zanzibar
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: JINSI ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2024/25 Zanzibar, majina ya waliochaguliwa kidato cha tano 2024/2025 Zanzibar, Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa kidato cha Tano 2024 zanzibar, Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa kujiunga kidato cha Tano na Vyuo 2024