RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


JINSI ya Kubadili Combination yako 2024

Filed in Ajira, Michezo, NECTA, TAMISEMI by on 13/03/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

JINSI ya Kubadili Combination yako 2024

JINSI ya Kubadili Combination yako 2024, JINSI ya Kubadili Combination yako Form Four,Tamisemi Selform MIS Registration Login 2024, How to register and login on Tamisemi Selform System 2024 website selform.tamisemi.go.tz 2024 login – selform.tamisemi.go.tz 2024 registration and access the Form four selform 2023 – selform.tamisemi.go.tz 2024 register.

JINSI ya Kubadili Combination yako 2024

JINSI ya Kubadili Combination yako 2024, JINSI ya Kubadili Combination yako Form Four,Tamisemi Selform MIS Registration Login 2024, How to register and login on Tamisemi Selform System 2024 website selform.tamisemi.go.tz 2024 login – selform.tamisemi.go.tz 2024 registration and access the Form four selform 2023 – selform.tamisemi.go.tz 2024 register.

TAMISEMI yafungua dirisha la kubadili Combination kwa wahitimu wa Kidato cha Nne 2023

Ni Kwa Wanafunzi wanaohitajika kufanya mabadiliko ya Combination walizochagua.

MUONGOZO WA MWANAFUNZI KATIKA MFUMO WA SELFORM NAMNA YA KUINGIA NA KUBADILISHA COMBINATION.

JUKUMU LA MWANAFUNZI KATIKA MFUMO WA SELFORM

Mwanafunzi (Muhitimu wa Kidato cha Nne (Form Four)) – Jukumu lake kuu katika mfumo wa Selform ni kubadilisha baadhi ya taarifa binafsi kama Home Address, Mobile Number, Email Address na machaguo ya shule, vyuo na tahsusi zake katika seksheni zingine kutokana na ufaulu katika matokeo yake.

1.NAMNA YA KUINGIA KWENYE MFUMO WA SELFORM

Ukiwa kwenye internet, fungua kivinjari chako (browser mfano, chrome), andika anuani ifuatayo selform.tamisemi.go.tz kupata dirisha la kujaza taarifa zako za kujisajili kama inavyoonekana hapo chini.

Bofya Menu ya chini kabisa iliyoandikwa For Candidates, Click here to Register kama mtumiaji ni mara yake ya kwanza.

Kisha, ujaze taarifa zinazohusika za Index Number kwa format ya Mfano S0101.0020.2018, Jibu swali utakaloulizwa, Jina la Ukoo na Mwaka wa kuzaliwa kama inavyoonekana hapo chini.

Kisha dirisha litafunguka na kutaka ujaze Password utakayoitumia siku zote. Dirisha lifuatalo litafunguka;

Ukishaandika Password, mfumo utaonekana katika sura hii kuonesha umefanikiwa kubadili
Password;

JINSI YA KUBADILISHA TAHUSUSI (COMBINATION) KIDATO CHA TANO,Selform login,Combination za Form five,selform.tamisemi.go.tz,Jinsi ya kubadili combination tamisemi,
Jinsi ya kubadili combination pdf download, Jinsi ya kubadili combination pdf, Jinsi Ya Kubadilisha Combination Online, Tahasusi kidato cha tano,
selform.tamisemi.go.tz 2024.

To change form five combination in 2024 Click Here

Ukishabadili Password, utaitumia kuingia kwa mara nyingine kwa kuandika username mfano S0101.0002.2018 na Password uliyoibadili.

2.PART A: TAARIFA BINAFSI ZA MWANAFUNZI

Ukishaingia kwenye mfumo, dirisha lifuatalo litafunguka na sehemu zilizozungushiwa tu ndio utaweza kubadili taarifa binafsi.Ukimaliza kujaza bofya SAVE and NEXT hapo chini ili kuendelea mbele.

3.PART B1: STUDENT GENERAL CHOICES

Bofya katika sehemu hii ili kuendelea kubadilisha taarifa zako za machaguo.

4.PART B2: ALTERNATIVE OPTIONS

Bofya kuingia katika eneo hili ili kuendelea kubadilisha taarifa zako za machaguo ya vyuo vya Kisekta. Ukimaliza bofya SAVE & NEXT.

5. PART C1: FORM V STUDENT DETAILED CHOICES

Bofya kuingia katika eneo hili ili kuendelea kubadilisha taarifa zako za machaguo ya shule za form V na tahsusi zake:

KUMBUKA– Mwanafunzi ataona Possible combinations tu na shule
kutokana na ufaulu wa matokeo yake kwa lengo la kubadilisha. Ukimaliza bofya SAVE & NEXT or Save & Go Back.

6.PART C2: TECHNICAL EDUCATION

Bofya kuingia katika eneo hili ili kuendelea kubadilisha taarifa zako za machaguo ya Vyuo vya Technical na Tahsusi zake:

KUMBUKA– Mwanafunzi lazima awe na ufaulu wa Tahsusi ya PCM katika matokeo yake kwaajili ya kubadilisha eneo hili. Ukimaliza bofya SAVE
& NEXT or Save & Go Back.

7.PART C3: HEALTH EDUCATION

Bofya kuingia katika eneo hili ili kuendelea kubadilisha taarifa zako za machaguo ya Vyuo vya Afya na Tahsusi zake. Ukimaliza bofya SAVE & NEXT or Save & Go Back

8. PART C4: DIPLOMA EDUCATION

Bofya kuingia katika eneo hili ili kuendelea kubadilisha taarifa zako za machaguo ya Vyuo vya Elimu na Tahsusi zake. Ukimaliza bofya SAVE & NEXT or Save & Go Back.

9.PART C5: OTHER COLLEGES

Bofya kuingia katika eneo hili ili kuendelea kubadilisha taarifa zako za machaguo ya Vyuo Vinginevyo na Tahsusi zake. Ukimaliza bofya SAVE & NEXT or Save & Go Back.

Jinsi ya kubadili combination yako form four pdf download, Jinsi ya kubadili combination yako form four pdf, Form 4 Selform PDF download, Form 4 Selform Online, Combination Form five,Tamisemi Selform jisajili, Tamisemi Selform login,selform.tamisemi.go.tz 2024, Tamisemi Selform Login Register
Combination Form Five, Tamisemi Selform jisajili online, Selform MIS
Selform 2024, Tamisemi Selform Login password.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , ,

Comments (1)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Jonas says:

    Ikiwa mwanafunzi amechaguliwa kujiunga na chuo cha kati badala ya kidato cha tano, lakini akahitaji kubadili ili ajiunge na kidato cha tano. Je kuna utaratibu gani unapaswa kufuatwa?