JINSI ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
JINSI ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
JINSI ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom,Faida ya M KOBA,m-koba tanzania,Jinsi ya kufungua M Koba,Masharti ya M-Koba,Jinsi ya kuchangia mkoba,Mgodi mpesa vigezo na masharti,TPB mkoba,Huduma ya m koba,Mkoba app,Vodacom M-KOBA, Huduma ya mgodi Vodacom Tanzania, Makato ya mkoba,Mgodi mpesa vigezo na masharti, www.vodacom.co.tz mgodi.
M-koba ni huduma ya kuchanga Kidijitali yenye lengo mahususi la kuviwezesha vikundi mbalimbali vya kutunza fedha kama Vikundi vya
Kifamilia/Marafiki, VICOBA, VSLA na SACOSS kuweza kuchanga fedha, kutunza fedha, kupeana mikopo, riba na kufanya mambo mengine.
AINA YA VIKUNDI KWENYE M-KOBA
FAMILIA/MARAFIKI
- Hii ni akaunti maususi kwa vikundi
vidogo inaweza kuwa familia ama
marafiki ambao wamekusudia
kuchanga fedha na baadae
kugawana baada ya muda Fulani.
VICOBA/VSLA/SACCOS
- Hii ni akaunti maususi kwa ajili ya vikundi vyenye upana mkubwa wa wanachama na vilivyo na mfumo wa kuuza na kununua hisa, kuweka akiba, Michango ya Kijamii na Kupeana Mikopo. Vikundi hivi ni vile vihusishavyo VICOBA/ VSLA/CB/SILC.
FAIDA ZA KUTUMIA M-KOBA:
M-Koba imeletwa ili kutatua changamoto mbalimbali ambazo vikundi vinakutana nazo katika mfumo wa kutumia pesa taslim kama usalama mdogo wa fedha zinazokusanywa, wanavikundi kutokuwa urahisi wa kukusanya pesa.
JINSI ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
Hivyo M-Koba huleta:
1:Usalama wa fedha za wanakikund
- Mwanakikundi huweza
kuchangia kupitia simu yake
popote alipo na kufikisha
mchango wake kwa usalama
na kwa wakati muda wowote - TAMISEMI Jinsi ya Kuangalia Mwenendo wa Ombi la Ajira
2:Uwazi kwa Wanakikundi/
Wanachama
- Endapo pesa itaingia au kutoka kwenye kikundi wajumbe na viongozi wote watapokea Ujumbe mfupi kuwajulisha.
3:Urahisi na Unafuu kwa Wanakikundi
- Hakuna makato yoyote kutoa hela
M-Pesa kwenda Kwenye akaunti ya
kikundi au kutoa hela kutoka kwenye Akaunti ya kikundi kwenda kwenye akaunti ya M-Pesa ya mwanachama.
4:Faida kulingana na Matumizi
- Bonasi kwa vikundi vinavyofanya vizuri na kufikia malengo ya michango (Amana) yao kwa mwezi.
5:Mitandao Mingine
- Wanachama wa mitandao yote
kuweza kujiunga na kikundi.
Jinsi ya Kufungua Akaunti Ya M-Koba Vodacom
JINSI YA KUFUNGUA AKAUNTI YA M-KOBA DONWLOAD PDF
Jinsi ya Kutengeza akaunti na Kusajili kikundi Cha M-KOBA leo na ufikie malengo ya kikundi chako kwa urahisi.
Fanikisha Malengo ya Kikundi Chako kwa Uwazi na Usalama Kiganjani.
Kwa maelezo na msaada zaidi kuhusu huduma ya M-Koba piga huduma kwa wateja namba 100 bure wakati wowote
Kwa nini mkoba ni muhimu?, Mkoba wa SM unatumika kwa nini?, Je, ni faida gani ya mkoba wa digital?, Kwa nini ninahitaji mkoba kwa Crypto?,Faida za mkoba vodacom, Gharama za M koba, Jinsi ya kutumia mkoba, Jinsi ya kutumia mkoba pdf, Masharti ya m koba, Jinsi ya kununua hisa mkoba, Menu ya mkoba, Mkoba mitandao mingine, M koba jamii forum, Mkoba statement, Gharama za m koba vodacom, Mkoba app download.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Fahamu jinsi ya kufungua akaunti ya m koba vodacom download, FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom, Faida ya M KOBA, Faida za mkoba, Gharama za M koba, Huduma ya m koba, Huduma ya mgodi Vodacom Tanzania, jinsi ya kuchangia m-koba, Jinsi ya kuchangia mkoba, JINSI ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom, Jinsi ya kufungua M Koba, Jinsi ya kutumia mkoba pdf, Kirefu cha vodacom tanzania, M koba jamii forum, m-koba pdf download., m-koba tanzania, Makato ya mkoba, Masharti ya M-Koba, Mgodi mpesa vigezo na masharti, Mkoba app, Mpesa menu Tanzania, nini maana ya m-koba, TPB mkoba, Vodacom M-KOBA, www.vodacom.co.tz mgodi