JINSI ya Kujisajili na Kutuma Maombi Ajira za Walimu 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
JINSI ya Kujisajili na Kutuma Maombi Ajira za Walimu 2024
JINSI ya Kujisajili na Kutuma Maombi Ajira za Walimu 2024,Mfumo Mpya wa Maombi Ajira za Walimu,Online Teachers Application System 2024/2025, UTUMISHI Job Teacher 2024/25,Register to the Online Teachers Application UTUMISHI, Jinsi ya Kutuma Maombi Ajira Za Walimu Utumishi Ajira Portal 2024.
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa ametangaza nafasi 11,015 za Ajira za Walimu 2024.
Katibu huyo amekaribisha Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi hizo 11,015 kama ilivyoainishwa katika
tangazo hili.SERIKALI Yatangaza Ajira 11015 za Walimu 2024
Kutokana na Tangazo hilo la Ajira za Walimu 2024, huu hapa ni mwongozo wa Jinsi ya Kujisajili na Kutuma Maombi Ajira Za Walimu UTUMISHI Kupitia Ajira Portal 2024.
- Kujisajili – Kama hauna akaunti unataka kujisajili katika mfumo wa Ajiraportal Jisajili hapa.
- Kufungua akaunti: Jinsi ya kufungua akaunti ya Ajiraportal Kufungua akaunti bonyeza aapa.
- Kutumia Ajira Portal au kuomba Kazi katika sekta ya UTUMISHI
- Nenda https://porta.ajira.go.tz ili kupata tovuti rasmi ya Ajiraportl.
- Ili kutengeneza akaunti kwenye Ajira Portal, bofya kiungo.
- Kwenye ukurasa wa kujisajili, ingiza kwa usahihi maelezo yako ya kibinafsi.
- Jaza kwa usahihi fomu ya Ajira Portal na taarifa zote.
- Pakia vyeti vyovyote muhimu, ukubwa wa pasipoti na hati zote.
- Hakikisha umejaza vizuri sehemu zote zinazohitajika katika taarifa iliyotolewa.
- Tuma programu na uhifadhi nakala kwa rekodi zako.
- Ili kuhakikisha mchakato wa maombi umefanikiwa, waombaji wanapaswa kuzingatia maagizo yaliyotolewa na Ajira Portal kuhusu usajili, usahihi wa taarifa zao za kibinafsi, uwasilishaji wa hati, na uwasilishaji wa maombi yao.
MWONGOZO wa Mabadiliko Katika Matumizi ya Mfumo wa Maombi ya Kazi Ajiraportal
Jaza taarifa zote muhimu kwa kuzingatia mpangilio huu:
- Chagua ngazi yako ya Elimu
- Chagua nchi uliyosomaChagua fani sahihi kulingana na taaluma yako ili uweze jina sahihi la fani yako uliyohitimu.
- Chagua fani uliyofuzu na inatakiwa jina lake lifanane na kilichoandikwa kwenye cheti chako cha kuhitimu ambacho unataka kukiambatisha kwenye mfumo, endapo hujapata jina linaloendana na kozi uliyomaliza huenda umechagua sehemu isiyo sahihi na taaluma yako, hivyo tafuta sehemu nyingine kwa kutumia jina la fani uliyofuzu kama ilivyoandikwa kwenye cheti chako.
- Chagua au jaza jina la chuo na kama chuo ulichosoma hakipo andika jina kamili kwa kirefu, usitumie vifupisho havikubaliki.
- Onyesha ulianza lini na ulihitimu lini.
- Ambatisha nakala ya cheti kilichothibitishwa na mwanasheria na hakikisha cheti chako unachokiweka hakizidi 2MB.
- Bonyeza sehemu ya hifadhi (save) ili taarifa na nyaraka zako ziweze kuhuishwa na kuhifadhiwa kwenye mfumo.
Aidha Waombaji wa fursa za Ajira mnatakiwa kuhuisha (Update) taarifa zenu kwa kutumia namba ya utambulisho wa Taifa (NIN), kwenye eneo ya Personal Details, aidha mnatakiwa kuhuisha taarifa kwenye eneo la Academic Qualification kwa kuweka kozi yako kwenye Category husika.
Ili kuona ‘STATUS’ ya maombi yako ya kazi, ingia sehemu ya ‘MY APPLICATION’ baada ya ku-‘login’ katika akaunti yako.
Sehemu hii itakuwezesha kuona namba ya usaili kwa wale waliofanikiwa na sababu ya kutokuitwa kwa wale ambao hawajafanikiwa.
Mwongozo: Ajira Mpya za Walimu 2024, Mfumo wa Maombi ya Ajira za Walimu 2024, Mfumo wa Maombi ya Ajira za Walimu 2024 Kupitia UTUMISHI Ajiraportal.
- Unatakiwa kuingiza cheti kimoja kimoja katika mfumo bila ya kuvijumuisha eneo moja. (PDF)
- Wakati wa kuingiza taarifa za elimu ya sekondari kidato cha nne na sita hakikisha unaingiza namba sahihi (index number) iliyoko kwenye cheti cha kuhitimu.
- Endapo umesoma nje ya Tanzania unatakiwa kuweka barua ya uthibitisho kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kwa Elimu ya Sekondari na kwa Elimu ya Astashahada, Stashahada uweke barua kutoka Mamlaka ya Elimu (NECTA) kwa waliomaliza Shahada nje ya nchi waweke nakala ya cheti cha Tume ya Vyuo Vikuu (TCU).
- Hakikisha umeingiza namba yako ya mtihani inayofahamika kama (index number) ukiainisha mwaka uliohitimu kwa usahihi na kisha bonyeza sehmu ya kuwasilisha maombi iliyoandikwa (submit).
- Baada ya kuwasilisha maombi, mfumo utaleta taarifa zako kutoka Baraza Mitihani na endapo utajiridhisha kuwa taarifa hizo ni sahihi, utathibitisha taarifa hizo kwa kubonyeza yehemu imeandikwa thibitisha na kuhifadhi (confirm and save).
Ajira za Walimu 2024 Maombi ya kazi Ajira za Walimu 2024, Ajira Mpya za Walimu 2024, Mfumo wa Maombi ya Ajira za Walimu 2024, Jinsi ya Kutuma Maombi ya Ajira za Walimu 2024.
Aidha taarifa ya kila hatua ya usaili mrejesho utaiona katika eneo hilo na endapo utafaulu na kupangiwa kituo cha kazi, taarifa hizo zitaonekana katika eneo hilo.
Pia, ukifungua eneo hilo na usione taarifa yoyote, tambua kuwa hujaomba kazi na unapaswa kuhakikisha taarifa zako zimejazwa vizuri na kurudia zoezi la kuomba kazi.
MASHARTI KWA WAOMBAJI WOTE WA AJIRA ZA WALIMU KUPITIA AJIRAPORTAL (UTUMISHI) 2024
- Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania wenye umri usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa wale tu walioko kazini serikalini.Waombaji wa nafasi za Mwalimu Daraja la III B na Mwalimu Daraja la III C
- wahakikishe wanambatisha HATI YA MATOKEO (ACADEMIC TRANSCRIPT) katika mfumo wa “Ajira Portal” kwa ajii ya utambuzi wa masomo ya kufundishia.
- Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutumia maombi nabwanapaswa kuainisha kwenye mfumo wa kuombea ajira ulemavu walionaonkwa ajili ya taarifa kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.
- Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa kilichothibitishwa na
Mwanasheria/Wakili. - Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia
katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa Waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo. - Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
- Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya kuzaliwa, kidato cha Nne, kidato cha Sita kwa wale waliofikia kiwango hicho, na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
- Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
- Cheti cha mtihani wa kidato cha I na Computer Certificate
- Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards).
- “Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
- Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).
- Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
- Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo
katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010. - Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
Mwisho wa kutuma Maombi ya Ajira hizi ni tarehe 02 Agosti, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa
pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;
KATIBU,
OFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA,
S. L. P. 2320, DODOMA.
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (RecruitmentPortal) kupitia anuani ifuatayo; http://portal.ajira.go.tz/.= (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa‘Recruitment Portal’)(Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa‘Recruitment Portal’)
Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo
hili HAYATAFIKIRIWA.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: JINSI ya Kujisajili na Kutuma Maombi Ajira za Walimu 2024, Jinsi ya Kutuma Maombi Ajira Za Walimu Utumishi Ajira Portal 2024., Mfumo Mpya wa Maombi Ajira za Walimu, Online Teachers Application System 2024/2025, Register to the Online Teachers Application UTUMISHI, UTUMISHI Job Teacher 2024/25
My email address arledy published
Hizi ajira zimeachiwa tayari au zinategemewa kuachiwa? maana sijaona kama tunatakiwa kuanza ku apply lini na mwisho ni lini
Mwenyew hata sijaona vigezo vyovyote vya kuaply
Hata Mimi sijaona . Maana mfumo haufuguki
Mbona link ya maombi ya ajira haifunguki
Je dirisha limefunguliwa?
Jamani mbona maombi yameblockiwa
Ni kwel yan kila nikijalibu kutuma maombi nakataliwa wanasema yamefungwa vp ww ulijalibu kwa kutumia cm yako au stationary?
Mbona inafunguka
Mi naambiwa maombi yamefungwa
Acha uongo yanafunguka tuu kwako
njia rahisi ya kutuma maombi ya nafasi za waalimu kwenye mfumo
Tunaanza lini kuapply Jamani mbona mfumoo haufu guki
Ww ulitumia cm yako au stationary mana hata mm najibiwa maombi yamefungwa
Mimi mwenyewe sioni
Acha uongo yanafunguka tuu kwako
Nafikiri bado hazijatoka rasmi na ndo mana hakuna taarifa rasmi ya mwisho wa kuapply
Kipalileduwa26@gmail.com
Mwisho wakuapply ni tarehe 2 Augustin