RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


JINSI ya Kujisajili na NBC Kiganjani

Filed in Makala by on 29/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

JINSI ya Kujisajili na NBC Kiganjani

JINSI ya Kujisajili na NBC Kiganjani

JINSI ya Kujisajili na NBC Kiganjani

JINSI ya Kujisajili na NBC Kiganjani,Pata huduma za kibenki popote na NBC Mobile Banking, Ukiwa na Huduma za NBC Mobile Banking, una benki mfukoni kwako.

Unatakiwa tu kuwa na simu yako ya mkononi, unaweza kutekeleza miamala mingi ya kibenki popote, wakati wowote.

Faida za kuwa na NBC Kiganjani

  • Kuangalia salio na kupata taarifa fupi ya akaunti yako
  • Kuhamisha fedha kwenda kwenye akaunti zako nyingine zilizoungaishwa na akaunti yako na kwenda kwenye akaunti nyingine za NBC
  • Kutuma fedha kwenye mitandao ya simu ya mkononi (MPESA, TIGOPESA, AIRTEL MONEY, na EZYPESA)
  • Kununua muda wa maongezi kwa ajili ya namba yako yoyote ya simu ya mkononi
  • Kutunza namba za akaunti au simu kwa wale unaowatumia hela au zile unazozitumia kulipa bili za mara kwa mara
  • Badili Namba yako ya Siri mara nyingi kadiri inavyowezekana
  • Kuchagua lugha unayoipendelea zaidi
JINSI ya Kujisajili na NBC Kiganjani

JINSI ya Kujisajili na NBC Kiganjani

Unajisajilije kwenye Huduma za Kibenki kwa Njia ya Simu ya Mkononi?

  •  Jaza Fomu hii kisha ipeleke kwenye tawi lolote la NBC lililo karibu yako ili kukamilisha usajili.  Kujisajili ni bure
  • Utapokea ujumbe mfupi kwenye simu yako ya mkononi punde tu utakapokuwa umeunganishwa huduma NBC Mobile Banking iitakapokuwa tayari imeunganishwa
  • Piga tu *150*55#  kisha fuata maelekezo rahisi

Ni salama kiasi gani?

Usalama umehakikishwa kwenye huduma za kibenki za NBC kwa njia ya simu ya mkononi. Miamala yote kwenye simu ya mkononi itahitaji Namba yako ya Siri na Namba yako ya Siri itahitajika kila mara unapohitaji huduma hizi.

Ni wajibu wako kutunza kwa usiri mkubwa Namba yako ya Siri ili kuepuka miamala isiyo halali kufanyika.

Unahitaji maelezo au msaada zaidi?
Wasiliana nasi:

+255 76 898 4000 | +255 22 219 3000 | +255 22 551 1000 | 0800711177 (free)

Tuandikie:

NBC_Digital.Channels@nbc.co.tz

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA NBC KIGANJANI

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.