JINSI ya kujua deni la gari lako Online
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
JINSI ya kujua deni la gari lako Online
JINSI ya kujua deni la gari lako Online,TMS CHECK Angalia deni la gari online,Kujua deni la gari,Kujua deni la gari – TMS TRAFFIC CHECK, Jinsi ya kuangalia deni la Gari na kulipia kwa njia ya simu,Kuangalia Deni la gari online.
Tumia ukurasa huu kujua deni la gari yako online – epuka ajali tii sheria.
Jinsi ya kulipa deni la traffic
Habari ndugu msomaji wa Nijuze Habari Blog, Je unatatizo la traffic barabarani na unahitaji kulipia deni la gari lako? au unataka kuhakikisha kama gari lako lina deni?
Umepoteza karatasi ya kulipia fine ya gari lako na unajiuliza utafanyaje uweze kulipia deni la gari lako?
Njia sahihi ni kubofya link hapo chini itakupeleka ukurasa wa kuweza kuandika namba ya gari lako na kuona kama linadaiwa au halidaiwi.
Hii link itakuwezesha pia kupata control number kwaajili ya kufanya malipo.
Au Unaweza kujaza namba za Gari lako hapo kwenye Jedwali kisha bonyeza Search utapata matokeo ya chombo chako
https://tms.tpf.go.tz/
Jinsi ya kulipia deni la gari kwa njia ya Simu
Endapo utakuwa umekagua namba ya gari lako na kukutana na fine ambayo inatakiwa kulipwa, Unaweza kutumia njia ya rahisi ya simu kufanya malipo na kuondoa deni lako
- Fungua menu ya malipo kama ni Airtel Money, M-pesa, tigo pesa au halo pesa
- Chagua namba inayohusiana na kulipia bili
- Mitandao mingine itakupa menu ya kuweza kuweka namba ya kampuni ambapo ukichagua utajaza 001001 baada ya hapo utajaza kumbukumbu namba ambayo ipo kwenye receipt ya faini au TMS uliopata online [ https://tms.tpf.go.tz/]
- Mitandao mingine itakupa option ya kujaza kumbukumbu namba mwishoni kujaza namba ya kampuni. Kwenye kumbukumbu namba jaza namba ya receipt ya TMS kwenye namba ya kampuni jaza 001001
- Baada ya hapo jaza kiasi cha malipo
- Mwisho kabisa weka namba ya siri. Deni lako litakuwa limefutika
Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0677038217
Pia unaweza Kulipia deni la gari lako Kupitia matawi ya benki kama;
-
-
- NBC
- NMB
- CRDB
-
Bonyeza hapa kuangalia deni la gari lako Online
Jinsi ya Kuangalia deni la Gari Kwa Simu, Jinsi ya kuangalia Deni la leseni,
Kuangalia Deni la gari bima, Jinsi ya Kuangalia deni la Gari kwa simu, Jinsi ya kuangalia deni la gari kwa simu pdf, Kujua deni la leseni Ya udereva
TMS check, Jinsi ya Kuangalia Deni La Gari parking, Kuangalia Deni la leseni Online, Jinsi ya kuangalia deni la gari,
Kuangalia Deni la gari polisi.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Jinsi ya kuangalia deni la Gari na kulipia kwa njia ya simu, JINSI ya kujua deni la gari lako Online, Kuangalia Deni la gari online., Kujua deni la gari, Kujua deni la gari - TMS TRAFFIC CHECK, TMS CHECK Angalia deni la gari online