JINSI ya Kukata Tiketi za Treni ya SGR Online
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
JINSI ya Kukata Tiketi za Treni ya SGR Online
JINSI ya Kukata Tiketi za Treni ya SGR Online,Jinsi ya Kukata Tiketi za Treni Online, Hatua za Kukata Tiketi ya Treni ya SGR Kwa njia Ya Mtandaoni, Hatua Kwa hatua namna ya Kukata Tiketi za Treni ya SGR Online, Jinsi Ya kukata Tiketi Ya Treni Online eticketing.trc.co.tz.
Shirika la Reli nchini Tanzani (TRC) limeanzisha mfumo wa kununua tiketi mtandaoni unaojulikana kama TRC Eticketing.
Mfumo huu utaondoa usumbufu wa foleni ndefu na wa kununua tiketi katika vituo, ambao kuanzia ssa abiria wa Treni wanaweza kukata tiketi muda wowote wakiwa majumbani kwao kwa kutumia simu janja (Smartphone) au kompyuta/Laptop.
Kununua tiketi ya treni mtandaoni ni lazima kutembelea tovuti rasmi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwenye mfumo wa kukata tiketi ya Treni eticketing.trc.co.tz ambao ni https://eticketing.trc.co.tz/.
HATUA ZA KUKATA TIKETI YA TRENI YA SGR KWA NJIA YA MTANDAO
- Ingia kwenye mfumo https://sgrticket.trc.co.tz kupitia Simu au Kompyuta
- Chagua Mji unaoanzia Safari na Mji unaokwenda
- Weka tarehe ya Safari kisha bofya tafuta
- Chagua Ingia kama mteja aliyesajili, mpya au Jisajili
- Ingiza nambari ya simu
- Pokea tarakimu 6 za uthibitisho kwenye simu yako
- Ingiza tarakimu za uthibitisho
- Chagua behewa na siti kisha endelea
- Pata bei ya nauli
- Pata namba ya kumbukumbu
- Fanya malipo
- Chapisha Tiketi yako
Hakikisha una kiasi cha fedha kwenye Simu yako kulingana na gharama ya daraja la tiketi unayotaka kukata ili kuepuka Usumbufu.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Hatua Kwa hatua namna ya Kukata Tiketi za Treni ya SGR Online, Hatua za Kukata Tiketi ya Treni ya SGR Kwa njia Ya Mtandaoni, Jinsi Ya kukata Tiketi Ya Treni Online eticketing.trc.co.tz., Jinsi ya Kukata Tiketi za Treni Online, JINSI ya Kukata Tiketi za Treni ya SGR Online