JINSI ya Kulipia Azam Max wasio na Smartcard
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
JINSI ya Kulipia Azam Max wasio na Smartcard
JINSI ya Kulipia Azam Max wasio na Smartcard, Je, unafahamu kuwa hata kama haumiliki Kisimbuzi cha AzamTV bado unaweza kupata huduma na burudani kutoka App ya AzamTV Max?
Namna ya Kukamilisha Usajili Kwa Mteja Mpya
Ni rahisi tu! Fuata hatua hizi;
- Pakua App ya AzamTV Max kwenye Play Store/ Apple Store.
- Bonyeza neno Jisajili/Register.
- Weka namba yako ya simu
- Weka code utayotumiwa
- Andika jina na password unayotaka juu na chini
- Endelea kama mteja asiyetumia kadi.
- Bonyeza kiboksi kukubali vigezo na masharti kisha kamilisha.
Jinsi ya kufanya malipo kwa mteja asiyetumia kadi;
- Bonyeza juu kulia kwenye profile yako.
- Bonyeza ‘Nununa kifurushi.’
- Bonyeza ‘Chagua kifurushi.’
- Chagua kifurushi unachohitaji.
- Thibitisha taarifa za kifurushi ulichochagua.
- Chagua njia ya kufanya malipo
- Kisha weka namba ya simu
- Bonyeza endelea kumaliza malipo.
Endapo utakuwa na maswali au changamoto, tafadhali wasiliana nasi huduma kwa wateja, WhatsApp namba 0677996644.