RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


JINSI ya Kutuma Maombi Ajira za Jeshi la Polisi Tanzania

Filed in Ajira by on 26/05/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

JINSI ya Kutuma Maombi Ajira za Jeshi la Polisi Tanzania

JINSI ya Kutuma Maombi Ajira za Jeshi la Polisi Tanzania, Jinsi ya Kutuma Maombi Kwenye Mfumo wa Ajira Jeshi la Polisi,JINSI ya Kutuma Maombi Ajira za Jeshi la Polisi Tanzania, Mfumo wa Maombi ya Ajira za Jeshi la Polisi Tanzania,Jinsi ya kujiunga na jeshi la polisi Tanzania, Jinsi ya Kutuma Maombi Kwenye Mfumo wa Ajira za Polisi.

JINSI ya Kutuma Maombi Ajira za Jeshi la Polisi Tanzania

JINSI ya Kutuma Maombi Ajira za Jeshi la Polisi Tanzania, Jinsi ya Kutuma Maombi Kwenye Mfumo wa Ajira Jeshi la Polisi,JINSI ya Kutuma Maombi Ajira za Jeshi la Polisi Tanzania, Mfumo wa Maombi ya Ajira za Jeshi la Polisi Tanzania,Jinsi ya kujiunga na jeshi la polisi Tanzania, Jinsi ya Kutuma Maombi Kwenye Mfumo wa Ajira za Polisi.

POLISI TPF Recruitment Portal  May 2024

Mwongozo huu unaonyesha jinsi ya kutumia mfumo huu. Aidha, mwombaji
anatakiwa kuomba kazi mara moja tu na si vinginevyo hivyo chagua kazi
ambayo unaimudu vizuri vilevile mwombaji atatakiwa au anatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo kabla ya kuomba kazi:

  • Namba ya NIDA iliyo sahihi
  • Picha ya pasipoti (Passport size) kwenye format ya picha (.PNG/JPG)
  • Vyeti vya elimu

Note: Mwombaji wa ajira hataweza kubadilisha maombi yake ya kazi baada ya kuomba kazi husika.

2.0: KUFUNGUA AKAUNTI

  • Mwombaji anatakiwa kufungua mfumo wa ajira na kisha kubonyeza sehemu iliyoandika “SIGN UP” iliyopo sehemu ya juu kushoto mwa ukurasa wa nyumbani.

TPF Recruitmen Portal login & signup

KUJISAJILI NA MFUMO WA AJIRA ZA JESHI LA POLISI BONYEZA HAPA

B. Mwombaji anatakiwa kujaza taarifa tatu za muhimu zinazohitajika ambazo ni Majina atakayotumia kwenye akaunti yake Barua pepe (Email) yake Kujaza nywila atakayoitumia (Password)

C.Mwombaji anatakiwa kujaza tarakimu za namba yake ya utambulisho
wa taifa (NIDA Number). Mfano: 19081103511060000128

D. Mwombaji anatakiwa kujaza taarifa zake ikiwemo anuani na namba
ya simu na taarifa nyingine za ziada ikiwemo picha ya pasipoti

3.0 : KUJAZA TAARIFA ZA ELIMU NA WASIFU

3.1 : KUJAZA TAARIFA ZA ELIMU

Mwombaji anatakiwa kubofya sehemu iliyoandikwa “EDUCATION” na kisha kubonyeza tena “ADD ITEM” kujaza taarifa zake za Elimu alizonazo

NOTE: Kwa waombaji wenye elimu ya Shahada (Degree), Stashahada (Diploma) na Astashahada (Certificate) watachagua taaluma husika kati ya zilizoorodheshwa kwenye “profesional categories”.

Kwa waombaji wa kidato cha nne au cha sita watachagua FORM IV au FORM SIX kama kategoria (professional category) za taaluma zao.

3.2: KUJAZA WASIFU WA MWOMBAJI
Kwa mwombaji mwenye taaluma/fani yoyote (Astashahada, Stashahada au
Shahada) anapaswa kuweka wasifu(CV) wake kwenye sehemu iliyoandikwa CV
na kuambatanisha wasifu wake.

4.0: JINSI YA KUOMBA KAZI
Mwombaji atatakiwa kuchagua kazi anayoiomba kulingana na taaluma yake
kwa kupitia sehemu iliyoandikwa “FIND JOB” au kwenye ukurasa wa nyumbani
(HOME PAGE).

Mwombaji atatakiwa kubonyeza sehemu iliyoandika APPLY FOR JOB ili kuanza
kuomba kazi.

Mwombaji atatakiwa kuambatanisha barua ya kuomba kazi (Cover letter)
Pamoja na kuchagua kituo chake cha usaili.

Note: Mwombaji wa ajira hataweza kubadilisha maombi yake ya kazi baada
ya kuomba kazi husika.

5.0: KUFUATILIA MAOMBI YA KAZI
Mwombaji atapokea taarifa zote juu ya maombi aliyoyafanya kwenye ukurasa
wake wa nyumbani (DASHBOARD) au sehemu iliyoandikwa “APPLIED JOBS”.

KUTUMA MAOMBI AJIRA ZA JESHI LA POLISI TANZANIA MAY 2024 TAFADHALI BONYEZA HAPA

Kwa Mawasiliano: Simu:+255 739 535 352
Email: co.recruitment@tpf.go.tz
www.polisi.go.tz

JINSI YA KUTUMA MAOMBI KWENYE MFUMO WA AJIRA JESHI LA POLISI DONWLOAD PDF

JINSI ya Kutuma Maombi Ajira za Jeshi la Polisi Tanzania

Jinsi ya kujiunga na jeshi la polisi tanzania 2024, Vyeo vya jeshi la polisi tanzania, Anuani ya jeshi LA polisi tanzania, Mfumo wa ajira jeshi la polisi tanzania, www.polisi.go.tz ajira 2024, Www polisi go tz ajira login,Jeshi La polisi tanzania ajira 2024, Historia ya jeshi LA polisi tanzania,www.polisi.go.tz ajira,Majina ya waliochaguliwa kujiunga na jeshi la polisi Tanzania,Jinsi ya kujiunga na jeshi la polisi Tanzania, Mkuu wa jeshi la Polisi tanzania.


Historia ya Jeshi la Polisi Tanzania

Jeshi la Polisi la Tanzania lilianzishwa rasmi 25 August 1919 kwa tangazo la Serikaliya Kiingereza lililotoka Gazeti la Serikali No.Vol.1 No.21-2583 kwa wakati huo likaitwa Jeshi la Polisi Tanganyika.

Lakini jeshi lilianzishwa kisheria kwa Sheria ya uanzishajiwa Jeshi la Polisi ya mwaka 1939 (THE POLICE FORCE AND AUXILIARY SERVICES ACT OF 1939) PRINCIPAL LEGISLATION.

Sheria hii ndiyo inatumika hadi sasa japo imekua ikifanyiwa marekebisho ya mara kwa mara.

Tanganyika Police during colonial rule

Makao Makuu ya Jeshi hilo kulinga na natangazo hilo yalikuwa Wilayani Lushoto Mkoani Tanga chini ya uongozi wa Major S.T Davis.

Tanganyika Police during colonial rule

Baadae Mwaka 1921 Kundi la Wakaguzi Polisi kutoka Ulaya lilifika nchini Tanganyika na kuanzisha Shule ya Mafunzo maalumu ya upolisi huko Mkoani Morogoro ilikukidhi mahitaji yao na kuwa na Askari wenye weledi wakutosha. Pamoja na kuwa na Askari weusi waliofuzu mafunzo lakini bado Askari hao walibaki na vyeo vya chini vya Kipolisi kwani vyeo vya juu vyote walipewa Askari Wazungu.

Jeshi la Polisi la kikoloni lilikuwa na Wanaume pekeyao, hakuna mwanamke aliyepewa nafasi ya kujiungana Jeshi, siyotukwa Watanganyika hata Askari waki koloni wote walikuwa wanaume.

Mafunzo yalilenga kumpa Askari mbinu za kumkandamiza Mwafrika, kuwaminisha kuwa kila walichosema wakoloni ndicho sahihi, ukandamizaji na udhalilishaji kwa Mwafrika ulikuwa mkubwa na ndiyo ilichukua sehemu kubwa ya mafunzo kwa Askari wa Kikoloni.

Askari walifundishwa utii kwa viongozi wakikoloni na ukatili dhidi ya waafrika hasa viongozi wa kikoloni pamoja na machifu. Lengo lilikuwa ni kumtawala Mtanganyika kirahisi.

Watanganyika alitumia silaha za jadi kukabiliana na Askari wa kikoloni, silaha hizo zilikuwa marungu, panga, mikuki, na mishale, pamoja na silaha zilizotengenezwa kwa mawe yaliyochongwa vyema.

Tanganyika Police during colonial rule
1925 : Kuanzishwa kwa kituo cha kwanza cha Polisi (Lupa, Tingatinga Mbeya)

Wakoloni waliona ni vyema waanzishe vituo vingi vya Polisi na mwaka 1925 Kituo cha kwanza rasmi cha Polisi nchini kilifunguliwa huko Lupa, Tingatinga Mbeya.

Early Tanganyika Police Uniform

Mwaka 1930 Makao Makuu ya Polisi yalihamishwa kutoka Lushoto Mkoani Tanga kwenda Dar es Salaam. Lengo lilikuwa kuwa na ngome imara ambayo ilisimamia utendaji wa vituo vingine vyote vya Polisi, mawasiliano na maelekezo ya nini kifanyike vituoni yalitolewa kila siku kwa vituo vyote vya Polisi. Radio na barua za kipolisi zilitumika kufikisha ujumbe vikosini.

Tanganyika Police during colonial rule

Baadaye Mwaka 1949 kikosi cha kutulizaghasia, Motorized Company sasa Field Force Unit (F.F.U) kilianzishwa nchini na lengo la kikosi hicho ni kurejesha amani penye vurugu.
Vijana wa kitanganyika walianza kupinga ukandamizaji wa Mkoloni dhidi yao, vijana hao waliongozwa na baadhi ya Askari waliotoka katika vita ya kwanza na ya pili ya Dunia. Hivyo basi iliwalazimu wakoloni kuanzisha kikosi maalum cha kutulizaghasia, pia mwaka huo wa 1949 kwa kuzingatia weledi, Vijana mbalimbali wa Kiafrika kutoka shule mbalimbali za Sekondari Tanganyika walichaguliwa kujiungana Jeshi la Polisi na kuwa Wakaguzi wa Polisi chini ya uangalizi wa muda maalum (Probation Inspectors).

A Police Officer from Motorized Company Unit during colonial rule

Mwaka 1952  Kikosi maalum cha Mawasiliano (Signals Branch) kilianzishwa Polisi bila kutumia nyaya za simu. Lengo la kikosi hicho ni kuhakikisha Jeshi la Polisi linawasiliana muda wote. Mawasiliano yalisaidia kutoa na kusamba za taarifa kwa haraka zaidi na utekelezaji wake kufanyika na mwaka huo pia Askari wa kike (Women Police) walijiunga na Jeshi la Polisi chini ya uongozi wa Ms. Payee. Ms. Payee ndiye alikuwa kiongozi wa askari wa kike kwa kipindi hicho.

Mara tu baada ya Tanganyika kupata uhuru wake tarehe 9 Desemba 1961, Jeshi la Polisi lilianza kubadili mwelekeo wake kutoka katika kutumikia Wakoloni na kuanza kuwatumikia wananchi kwa mujibu wa sera za Serikali ya Wananchi wa Tanganyika japo bado lilikuwa na mfumo wa kikoloni. Ilichukua muda kulibadilisha na kulifanya Jeshi la Polisi liwe la kumlinda Mtanganyika na mali zake.

1964 – Hadi sasa : Mabadiliko ya Jeshi kutoka Tanganyika Police kuwa Tanzania Police Force (TPF)

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments (163)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. am interested with it

    • Siku zimebaki chache na NIDA wanachelewesha nisaidieni

    • Antelmi says:

      p.o.box 443
      Buhigwe
      24.may.2024

      Yah;Ombi la nafasi la jeshi la polisi
      Mimi antelmi peter ni mtanzania halisi wa kuzaliwa elimu yangu ni muhitimu kidato cha sita naomba nafasi hii kwa kuzingatia kanuni nitafanya kazi kwa uadilifu
      A.p.cosmas
      Antelmi peter cosmas
      0717320297
      mwombaji

  2. Nahitaji kazi hii sana

  3. Victoria fidelis kiungo says:

    Nafasi za polisi Tanzania

  4. Ismail Ibrahim Mwinyi

  5. Jilala Paul says:

    I want to apply for this job

  6. Naitwa Hassan abdallah mikole naomba ajira kwenye jeshi la police nipo tayar kufanya kazi popote pia nipo tayari kufanya Kaz kwa moyo mmoja

  7. Naitwa Hassan abdallah mikole naomba ajira kwenye jeshi la police nipo tayar kufanya kazi popote pia nipo tayari kufanya Kaz kwa moyo mmoja na Nina funny nzuri naweza nikatoa nguvu katika jeshi la police

  8. Mimi ni jonasi Amani Yohana naomba ajira ya jeshi la polisi Tanzania nikijana ambae nilikuwa na njozi ya kuwa moja wa jeshi la.polisi

  9. Ni Mimi Hassan abdallah naomba kujinga na jeshi la police Ni raia was Tanzania pia Nina funny ya ufundi magari pia Nina uwezo mzur pia nitafanya kaz popote nitapochaguliwa

    • Abduli salehe rashidi says:

      ABDULI SALEHE RASHIDI
      S.L.P,65
      CHALINZE,
      PWANI,
      YAH:MAOMBI YA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI
      HUSIKA NA KICHWA CHA HABARI CHA HAPO JUU NI MIMI WAKO MTIIFU ABDULI SALEHE RASHIDI NINA AHIDI KUTUMIKIA JESHI LA POLISI NA NITAFANYA KAZI KWA BIDII NA UCHAPAKAZI WA HALI YA JUU NINA NINATUMAINI OMBI LANGU LITAJIBIWA.

      NI MIMI KATIKA UJENZI WA TAIFA
      A.S.RASHIDI
      ABDULI SALEHE RASHIDI
      0626849987

  10. Niko tayari kufanya kazi ya jeshi la police kwa hiari yangu mwenyewe na nina tumai ombi langu litakubaliwa

  11. Naomba kujiunga na jeshi la police

  12. Ajira ya polisi Tanzania

    • SIMON LUCAS SMON …….21-05-2024 naaitwa Simon lucas Simon nahitaji nafasi kutoka kwenu jeshi la porini nipo tayari kujitoa kwa moyo wangu wote kuitumikia kazi hii naahidi..naimani ombi langu litakubariwa

  13. Fulko fulko mapunda says:

    Naomba nafasi ya jeshi la police Tanzania nipi tayari kufanya kazi kwa kujituma na kwa kuhakikisha usalama wa raia wema

  14. Alfred Mgoben says:

    Hongera kwa kazi nzuri,

  15. 20030201674400000227

  16. Maombi ya ajila jeshi la polisi Tanzania mwaka 2024

  17. Education of certificate of plumbing

  18. URL ajila za jeshi la polisi Tanzania

  19. URL 0745753206/ 0616207671

  20. JESHI LA ZIMA MOTO

  21. jinsi ya kutuma maombi yakuomba kazi online

  22. Hashim khamis ali says:

    Request for job

  23. Hosiana Koka Mbise says:

    Nipo tayari kujiunga na jeshi la polisi kwa usalama na ulinzi wa mali zetu pamoja na uzalendo

  24. Bakari Hosseni says:

    Bakari Huseni ninaomba nafasi yakazi kwani ninayokila sifa ya kupataiyo kazi na nitalitumikia vyema na nitakubali sehemu yoyote nitakayo pangiwa kwakuwa ninaipenda sana hiyo kazi

  25. Augustino says:

    Maombi ya kujiungu na jeshi la kujenga Tanzania

  26. I want to aply for this job

  27. Aisha Issa says:

    Mbona tukiomba system haikubali jamanii nimeshajarib haikubali na hii kaz mm naitaka

    • GODWIN AKOKO AZARIA says:

      GODWIN AKOKO AZARIA says: naitaji kujiunga na jeshi la polosi kwa kufuata Sheria na Kariba ya Tanzania nitaitumikia vyema.

  28. naomba nafasi ya kazi kujiunga na jeshi la polisi

  29. mim Mariam athumani naomba ajira katika jeshi la polisi Nimpitia mafunzo y awali ya jeshi (. jkt)ivyo bas napenda kutumikia nchi yangu 0655771637

  30. Tumaini mwakifuna says:

    Use

  31. Nipo tayari kutumikia jeshi la polisi kwa moyo mmoja na kwa hali yeyote ile iwe ya shida au raha, pia natumaini nitaaminiwa na kupewa dhamana hii. Ahsante

  32. Samwel sima samwel says:

    Habar na tumah ni mzima wa afya mim SAMWEL SIMA SAMWEL Nip tayari kutumikia jeshi la polosi kwa moyo mmoja kwa kufata sheria na katiba ya TANZANIA nitaitumikia vyema na hamin hombi rangu lita fanikiwa asante

  33. Daaa inakuwaj ngumu jaman tusaidiane

    • Habari , natumai mkopo
      Nipoa tayali kujiunga na kesho la polisi kwa kutumikia nchi yangu ,taifa langu na raia na malizao kwa ujumla na nipo tayari kushiriki katika mafunzozo ya nitakayo pati , ukiwa Tanzania au visiwani zanaziba au nje ya nchi na anuani yangu
      mwinyiabdalla090@gmail.com
      Zanazibar . 0620595559

  34. Nipo tayari kutumikia jeshi la polisi kwa moyo mmoja na kwa hali yoyote natumaini ombi langu litakubaliwa kwa mawasiliano zaidi 0782304832

  35. Gideon Charles Mwilima says:

    Mbona site yao haifunguki jamani

  36. Mbona site yao haifunguki

  37. Mbona web yao haifunguki

  38. Kandolo makoye ndulu says:

    Ombi la kujiunga na jeshi la polisi Tanzania nipo tayari kufanya katika jeshi la polisi la tanzania

  39. Francis Majala says:

    Nahitaji hii sana lakin sijawahi kinahatika ni kazi ambayo ninauhakika nitaifanya kwa ueledi mkubwa sana tafadhari msaada nmna ya kuammoja wa watakao pata kazi hiii

  40. Elly okoth says:

    Mimi natamani kutumikia jeshi la tz kulinda rsiliamali ya wa tz

  41. EDWINE says:

    Nsomba kaz katika jeshi la police Nina sifa na nipo tayal kufanya Kaz sehm yoyote

  42. Nahitaji sana Kaz
    hii kila napojalibu mfumo unakataa
    0742410789

  43. Jackline Joseph Mbuya says:
    13/05/2024

    Mimi Jackline Joseph Mbuya nipo tayari kulitumikia jeshi la polisi na taifa kwa ujumla, ni matumaini yangu kuwa ombi langu litakubaliwa.

  44. Nipo tayari kutumikia jeshi la polisi kwa moyo mmoja na kwa hari yeyote ile natumain ombi langu lita pokerewa na kushughulikiwa kwa mawasilian zaid 0699604525/0685617139

  45. Naitwa HUSEIN IDD CHAMGOSI. Nipo tayari kutumikia jeshi la polisi kwa moyo mmoja na kwa hari yeyote ile natumain ombi langu lita pokerewa na kushughulikiwa kwa mawasilian zaid 0699604525/0685617139

  46. Naitwa Noel Ezekiel Thomas nipo tayar kulitumikia jeshi la polis na kufuata sheria na taratibu zote naomba nafas hyo nitaenenda vizur katika kaz asante natumaini omni langu litapokelewa.
    Mawasiliano 0620509464

  47. Nipo tayali kujiunga na jeshi la polisi kwa iyali yangu mwenyewe

  48. Nipo tayali kutumikia jeshi la polisi kwa iyali yangu mwenyewe na ndiyo ndota zangu zilipo

  49. Issack Shemsanga says:

    How can i aply this chancce

  50. Mimi nina sifa katika ya zilizo ainisha apo pia nina fani mawasiliano zaidi 0788209602

  51. Kelvin says:

    Ndoto yangu kubwa ni kuwa polisi

  52. Naipenda hii kazi na nitahimudu endapo nitapewa nafasi

  53. BOAZ LAURENT says:

    Nafasi ni nzuri

  54. Harun Denis Mhume says:

    Ndoto yangu nikijiunga na kufundishwa mafunzo kisha kupangiwa kazi popote Tanzania na visiwani anuani yangu au email.natumia ya mjomba namba yangu ni 0685477328

  55. FATINA NASHON JOSEPH says:

    Naipenda sana hii kazi na endapo nitaipata nitafanya kwa juhudi zangu zote na uwaminifu

  56. Naomba hii kazi kwa sababu ninaipenda nchi yangu pia nahtaji kulitumikia taifa langu kwa uwezo wangu wote

  57. Naomba hii kazi kwa sababu napenda sana

  58. Naomba kazi hii kwa sababu napenda sana mafunzo pia nina vyeti vyote kama ilivyotangazwa

  59. Naomba kazi hii kwa sababu napenda kujiunga na police

    0628038836

  60. Habari , natumai mkopo
    Nipoa tayali kujiunga na kesho la polisi kwa kutumikia nchi yangu ,taifa langu na raia na malizao kwa ujumla na nipo tayari kushiriki katika mafunzozo ya nitakayo pati , ukiwa Tanzania au visiwani zanaziba au nje ya nchi na anuani yangu
    mwinyiabdalla090@gmail.com
    Zanazibar . 0620595559

  61. Hassani says:

    Habari na tumahi ni wazima wa afya kwa majina naitwa HASSANI SAIDI SHEMKOE. Nipo teyari kulitumikia jeshi la Polisi kwa moyo mmjo tena kwa thati kabisa kutoka moyoni kwa kufuata sheria na katiba ya Tanzanian na nina Imani kuwa ombi langu litakubaliwa ahsante
    0682702975 / 0712097476

  62. Sukhel Abdalla Nassor says:

    Mimi ni kijana wa kitanzania ..naomba kupatiwa hii kazi kwani ninao uwezo wa kufanya kazi kwa jmahiri na uweledi mkubwa.nipo patayar kufanya kazi popote nitapopangiwa , namba yangu ya simu ni 0777422344

  63. Nipo tayari kwa hii kazi tangu mda mrefu changamot ni nafasi ya kupata mafunzo, tupeni nafasi tulitumikie taifa

  64. Faraji says:

    Tunaomba muongeze mda jmn maana mtandao unasumbua

  65. huruma mwanbene says:

    Huruma mwambene
    Napenda sana hii kazi naweza kuifanya popote tanzania endapo nikipata mafunzo
    Namba yangu 0768906290

  66. huruma mwanbene says:

    NAIPENDA SANA HII KAZI NA NAWEZA KUIFANYA POPOTE TANZANIA ENDAPO NIKIPATA MAFUNZO
    Namba yangu 0768906290

  67. Elias Ngwale says:

    Naomba kupata nafasi ya kijinga na jeshi la polisi katika nchi yang ya tanzania .

  68. Emmanuel says:

    Mimi ni emmanuel valerian augustinoo ,kijana mwenye umri wa miaka kumi n tisa (19),nimemaliz form4 ninaomba nafasi yakujiunga n jeshi l polisi katika nafasi yoyote ilii nitakayo pangiwa n jeshi la polisi ili kuendelezea ulinzi katika nchi yetu

  69. Emmanuel says:

    Mimi ni emmanuel valerian augustinoo ,kijana mwenye umri wa miaka kumi n tisa (19),nimemaliz form4 ninaomba nafasi yakujiunga n jeshi l polisi katika nafasi yoyote ilii nitakayo pangiwa n jeshi la polisi ili kuendelezea ulinzi katika nchi yangu

  70. Naitwa DEOGRATIUS Mhwagila Bahi naomba nafasi ya kazi Kwa sababu Nina sifa zote na Nina moto wa kazi na nitafanya kazi sehemu yoyote

    • Nestory Elias cleophace says:

      Naitwa Nestory Elias Cleophace naomba ajira ya kultumikia jeshi la polisi mimi mzalendo

      • Erick says:

        Naitwa Erick aleck naomba kuJiunga na jeshi la polisi namiaka 21 nimtanzania halisi na mwenye sifa zotee za kuJiunga na jeshi la polisi Kwa fani ya umeme computer. Dance. Naomba ushilikiano wenu kwangu Kwa kulitumikia taifa la Tanzania Kwako mkuu wa jeshi la polisi Tanzania s. L. P. 191 Dodoma . No0626088384/0717158657

    • Naitwa mustafa sadiki kasimu,mimi nikijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 24 nimehitimu kidato cha nne 2018 ninaomba nafasi ya kujiunga na jeshi la polisi,nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote pia nipo tayari kulinda raia pamoja na mali zao. 0765146933

  71. fahim nassor salum says:

    A.aleikum na me nahitahi kujiunga na polisi

  72. Judith Johnbosco says:

    Mimi Judith Johnbosco naomba nafasi ya kazi ninaamini nitalitumikia vyema jeshi la police na nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwa mawasiliano zaidi namba ya simu 0747092980

  73. Edina says:

    Nipo tayar kujiunga na jeshi la polis kwa ajir ya kuhakikisha usalam na haki za binadamu

  74. Naitwa mustafa sadiki kasimu,mimi nikijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 24 nimehitimu kidato cha nne 2018 ninaomba nafasi ya kujiunga na jeshi la polisi,nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote pia nipo tayari kulinda raia pamoja na mali zao. 0765146933

    • SIMON SAIGURAN.
      S L.P 10790.
      ARUSHA,
      14/05/2024.
      0763547957
      0694324074
      MKUU WA JESHI LA POLISI TANZANIA,
      MAKO MAKUU YA JESHI LA POLISI,
      S.L.P 191,
      DOODOMA.
      14/05/2024.
      YAH; MAOMBI YA AJIRA JESHI LA
      POLISI
      Tafadhali rejea mada tajwa hapo juu.
      Ninaishi au na mzaliwa wa arusha, pia ni mhitimu wa kidato cha NNE mwaka 2022 na baada ya hapo nimeendelea na ngazi ya masomo ya certificate, na nipo tayari kufanya kazi ya polisi yoyote ile, pia nilisomea kozi ya scout member kwahy ninaomba niwe mojawapo kati ya waajira watakaopata nafasi.
      Wapo katika ujenzi wa Taifa
      Simon saigurani kilamian
      s.s.kilamian

  75. Naomba nafasi ya kujiunga na jeshi la police tanzania kwan nina nia na vigezo vya kutumikia kaz hio popote pale Tanzania

  76. Alei ali says:

    ALEI ALI SALEH
    DONGE KITARUN
    ZANZIBAR
    SIMU NO.0673671686
    0628444049
    MKUU WA JESHI LA POLISI TANZANIA
    MAKAO YA JESHI LA POLISI
    S.LP 961
    DODOMA
    15/5/2024
    KUH OMBI LA KUPATIWA AJIRA YA POLIS
    Kwa wingi wa heshima na taazim naombaa uhusike na mada iliop hap juu
    Mm ni kijana nilio maliza kidatu Cha nne na baada apo nikajiungaa na chup Cha Mbadala raha Leo na baada hapo nikenda fild zeco .na kumaliza apo nikenda chuon Cha mafunzo ya Tehamaa Katik kituo Cha teham mahonda ..
    Kwaio naombaa nipatiw Ajira ya JESHI la POLISI Kwa ajili ya kulinda nchi yangu natumai ombi langu limepokelew Kwa moy mkunjufuu
    Ahsante sana
    Wako mtuu
    nosim0673671686

  77. SIMON SAIGURAN.
    S L.P 10790.
    ARUSHA,
    14/05/2024.
    0763547957
    0694324074
    MKUU WA JESHI LA POLISI TANZANIA,
    MAKO MAKUU YA JESHI LA POLISI,
    S.L.P 191,
    DOODOMA.
    14/05/2024.
    YAH; MAOMBI YA AJIRA JESHI LA
    POLISI
    Tafadhali rejea mada tajwa hapo juu.
    Ninaishi au na mzaliwa wa arusha, pia ni mhitimu wa kidato cha NNE mwaka 2022 na baada ya hapo nimeendelea na ngazi ya masomo ya certificate, na nipo tayari kufanya kazi ya polisi yoyote ile, pia nilisomea kozi ya scout member kwahy ninaomba niwe mojawapo kati ya waajira watakaopata nafasi.
    Wapo katika ujenzi wa Taifa
    Simon saigurani kilamian
    s.s.kilamian

  78. Kwa majina naitwa simon saiguran kilamian. Ninaomba niwe mojawapo ya watakao pata nafasi. Ya kazi ya JESHI LA POLISI. Ninaishi mkoa wa arusha kwa mawasiliano zaidi 0763547957

    • Erick says:

      Naitwa Erick aleck naomba kuJiunga na jeshi la polisi namiaka 21 nimtanzania halisi na mwenye sifa zotee za kuJiunga na jeshi la polisi Kwa fani ya umeme computer. Dance. Naomba ushilikiano wenu kwangu Kwa kulitumikia taifa la Tanzania Kwako mkuu wa jeshi la polisi Tanzania s. L. P. 191 Dodoma . No0626088384/0717158657

  79. Nataka ajira ya kuwa askari polisi lakni mfumo haufunguki
    Nina vigezo nmemaliza form six na pia nmepitia mafunzo ya awali jkt please namba ya simu 0767260187

  80. Naitaji kujiunga na jeshi la polisi

  81. Kwa majina naitwa pauline malongo peter nina umri wa miaka 24 nilihitimu kidato cha 4 mwaka 2019 nikamaliza pia kidato cha sita mwaka 2022 nakujiunga na mafunzo ya awali ya jeshi la kujenga taifa katika kikosi jeshi 842kj MLALE JKT

    Hivyo bas naomba kupata nafasi ya kuwa askari polisi kwa mawasiliano zaidi namba yangu ya simu 0767260187

  82. Mimi joseph Brastus kafumu ninapenda kuomba nafasi ya ajira katika jeshi la polisi la tanzania nikiwa mtanzania kuzaliwa naomba kujiunga na jeshi la polisi ili niitumikie nchi yngu nikiwa kijana wa kitanzania male mzalendo kwa lengo la kulinda usalama wa raia pamoja na Mali zao

    Namatumaini ombi langu litakubaliwa na kufanyiwa kazi

    Wako /went katika ujenzi wa taifa
    Joseph Brastus kafumu

    0747315748

  83. i like it because love the police force

  84. Prudence says:

    How can send my handwriting latter as a form six candidate so as to reach where they needed

  85. Haruni Denis Mhume says:

    Mkuu wa jeshi la polisi Tanzania
    S.L.P 961,
    Dodoma
    YAH:MAOMBI YA KUJIUNGA NA
    JESHI LA POLISI
    Mimi ni kijana wa umri miaka 21 naomba kujiunga na jeshi na kupata mafunzo.nimemaliza elimu ya sekondari kidato cha nne division 4 kwa alama 26

  86. Aishat says:

    Naitwa Aishat idrisa ni kijana wa umri wa miaka 19 naomba kujiunga na jeshi la poli

  87. Ni muhimu kwa usalama wa Taifa

  88. Sarah says:

    SALAH ADAM MWAIJUMBA
    S.L.P 65
    KiLOSA
    18/05/2024

    MKUU WA JESHI LA POLISI TANZANIA
    MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI
    S.L.P 961
    DODOMA.

    YAH: MAOMBI YA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI
    TANZANIA

    Tafadhari husika na mada tajwa hapo juu.
    Mimi ni kijana wa kitanzania nina umri wa miaka 24 na elimu ya kidato cha nne nilihitimu elimu ya sekondari mwaka 2018 na kupata division 4 ya point 27 nina akili timamu na afya njema.
    Ninaomba nafasi ya kujiunga na jeshi la polisi Tanzania, nipo tayari kufanya kazi mazingira yeyote na kulinda Amani. Nitafanya kazi kwa uaminifu
    Wako katika ujenzi wa taifa
    S.A mwaijumba
    Salah Adam Mwaijumba.
    0713370459

  89. lightness lameck says:

    mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 mwenye elimu ya kidato cha nne natamani sana kujiunga na jeshi la polisi endapo nitaptiwa nafasi hiyo naahidi ntaitumikia vyema Taifa yangu kwa maadili mema naomba nipatiwe nafasi 0613568218

  90. MUKHSINI SALIM ALLY says:

    Kwa majina naitwa MUKHSINI SALIM ALLY nina umri wa miaka 23 nilihitimu chuo mwaka 2020 mafunzo ya awali ya jeshi la kujenga taifa katika kikosi jeshi 842kj MLALE JKT

    Hivyo bas naomba kupata nafasi ya kuwa askari polisi kwa mawasiliano zaidi namba yangu ya simu 0749598773

  91. mimi ni meshack japhet mwakalambo nimeandika barua hii kwazumuni lakuomba kazi ya ulinzina usalama kwa raia tafadhari sana mimi naipenda sana kazi hii mimi nina umri wa miaka18 nimemaliza o_level form iv na mungu amenisaidia nimefaulu wastani mzuri tu wa ll_21naomba sana nafasi yakujiunga na jeshi la polisi ashante sana kwakunisikiliza.

  92. mimi ni meshack japhet mwakalambo nimeandika barua hii kwazumuni lakuomba kazi ya ulinzina usalama kwa raia tafadhari sana mimi naipenda sana kazi hii mimi nina umri wa miaka18 nimemaliza o_level form iv na mungu amenisaidia nimefaulu wastani mzuri tu wa ll_21naomba sana nafasi yakujiunga na jeshi la polisi ashante sana kwakunisikiliza.no.0696728181

  93. Twaha Rashidi says:

    Kwa majina naitwa Twaha Ramadhani Rashidi mkazi wa morogoro mjini na mwenyeji wa singida ,elimu yangu nimemaliza kidato cha sita 2023 na kupata ufaulu daraja la tatu ,hivyo nitumie nafasi hii kuomba ajira katika jeshi la polisi Tanzania kwani mimi niko tayari kulitumikia jeshi la polisi kwa moyo na kwa uaminifu wa hali ya juu na naahidi kuwa mwadilifu kazini ,Nawaomba sana nipo chini ya miguu yenu viongozi mnaohudmsika na hili nipate nafasi hii kwani ni ndoto yangu kubwa kutetea na kulinda rai na mali zao,nitashkuru sana nikifanikiwa ,namba yangu ni 0718986496

  94. Boazi bahati john says:

    habar natumain umzima wa afya.mimi natwa
    Boazi bahati naomba kujiunga na jeshi la polisi.assnten

    0760402165
    0656698362

  95. malima says:

    namba link ya kuingia kwenye mfumo wa maombi ya ajira ya jeshi la police tanzania

  96. EMMANUEL RHOBI MTUNDI says:

    Naitwa Emmanuel Rhobi mtundi naomba kazi ya polisi ..

  97. EMMANUEL RHOBI MTUNDI says:

    Najaribu kuingia kwenye mfumo Ili nijaze form toka jana unagoma , naomba jina Emmanuel Rhobi mtundi elimu kidato Cha nne naomba kazi ya jeshi naipenda sana pia natamani niwepe fursa hii no 0744323936,email mtundydeb@gmail.com

  98. ABUSALUM says:

    Habari ya kazi

  99. Honoratha Tumaini says:

    Habari,naitwa Honoratha Tumaini,naomba Sana nafasi ya kujiunga na jeshi la polisi Tanzania,Niko tayari kufanya kazi mahali popote

  100. maombi ya ajira kwenye jeshi la polisi

  101. RAMADHANi jumanne maleges says:

    naitwa Ramadhani jumanne maleges kutoka singida.naomba nafas ya kutumia jeshi la polisi Tanzania naomba ya simu 0746027167

  102. Naitwa Ramadhani jumanne maleges kutoka singida.naomba nafasi ya kulitumikia jeshi la police Tanzania namba ya simu 0746027167

  103. MESHACK JAPHEY, , S.L.P336, , MBEYA, , 20/05/2024. -MKUU WA JESHI LA POLISI TANZANIA .MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI . S.L.P 961 . DODOMA. . ndugu, . YAH:MAOMBI YA KAZI JESHI LA POLISI TANZANIA. . Husika na kichwa hapo juu .Mimi ni meshack japhet mwakalambo kijana mwenye umri wa miaka 18 barua hii niyalengo lakuomba nafasi ya ulinzi na usalama wa mali za wananchi. kazi hii naipenda toka moyoni kwasababu sipendi kuona raia wanateseka. mimi nikijana mwenye elimu ya kidato cha nne mwaka2023 na mungu kanisaidia nimefahuru nina two ya 21. asante sana kwakunisikiliza. . meshack.j.mwakalambo

  104. From Dodoma
    Network problem ☹️

    • Eliah Titus says:

      Nina vutiwa Sana na kazi hii ,elimu yangu ni degree ya project planning and management
      Namba yangu ya simu 0625530105

  105. Peter Enock says:

    Mfumo unasumbua kila ukifika kwenye ku apload Passport size huwa haiendelei

  106. Marco says:

    MARCO TUMBU S. L.P 961 DODOMA MKUU WA JESHI LA POLISI TANZANIA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI ndugu husika na maada tajwa hapo juu Mimi ni marco tumbu naomba nafasi ya ulizi na usalama wa Mali za wanainchi Nina umri wa miaka 26 nimemaliza four mwaka 2016 na kuendelea advance na kupata mafuzo ya JKT

  107. BERNADETHA SHIKOMBE FRANCIS says:

    BERNADETHA SHIKOMBE FRANCIS,
    SLP,20 MISUNGWI MWANZA
    21/5/2024
    MKUU WA JESHI LA POLISI TANZANIA
    MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI
    SLP 961,
    DODOMA
    Ndg,,YAH:MAOMBI YA KAZI JESHI LA POLISI TANZANIA
    Husika na kichwa cha habari juu,mimi BERNADETHA SHIKOMBE FRANCIS binti wa umri wa miaka 19 elimu yangu ya sekondary nilipata daraja la 3,mwaka 2021,ninaomba nafasi ya kazi ya polisi kwa ajili ya kulitumikia taifa langu na wenye uhitaji wa kusaidiwa,nitashukiuru ombi langu endapo litafanyiwa kazi kwa muda,
    Wako katika ujenzi wa taifa
    bernadetha shikombe francis
    0685572693

  108. Amon mbunda says:

    AMON ALOYCE MBUNDA ,S.L.p MBINGA, 20/5/2024: MKUU WA JESHI LA POLISI TANZANiA.MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI.S.L.P.961.DODOMA.ndugu. YAH: MAOMBI YA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI TANZANI. Ndugu husika na kichwa tajwa hapo juu Mimi naitwa Amon mbunda ni mzaliwa wa Tanzania nina umri wa miaka 26 .lengo au dhumuni la kuandika barua hii nikuomba kujiunga na jeshi la polis .naipenda hiyo kazi Toka moyoni maana napendaa kulinda raia na malizao .lakini nimehitimu kidato channe 2018.lakini pia nimehitimu mafunzo ya jeshi la akiba na mwaka huu nimehitimu chuo Cha uhalimu wa shule ya msingi .Kwa mawasiliano zaidi 0747438567 au 0782906993 nitafurah sana kama nitachaguliwa ni mm Amon mbunda

  109. Amon mbunda says:

    Naitaji kujiunga maana Nina ndoto ya kuwa polisi

  110. Kwamajina naitwa Yusufu Sultani Mkazi wa mkoa wa pwani, wilaya ya mkuranga nina nia ya kujiunga na ajira ya jeshi la polisi,Kwa moyo mkunjufu na kwenda popote nitakapo pangiwa, namba za simu 0783916412, Nikiwa na elimu ya form 4 namba ya nida 20030320-61514-00002-2511,

    lakini hiyo instruction ya hapo juu kila nikiijarbu naishindwa kujiunga, nimeona bola niombee hapa tu
    By:: kila la kheir

  111. IMELDA GASTO CHIKOTI says:

    This is my favourate job i like it..

  112. Naomba kujiungaa na jeshii la polisi la Tanzania kwaniii ninaa ndoto zaa kulinda taifa letuu kwa aslimia mia

  113. Naomba kujua kama binti yangu kachaguliwa

  114. Mungu endelea kutuombea wale wote walio tuma maombi kwa moyo mkunjufu wafanikiwe na mm nikiwemo. Amina.

  115. Lailati Hamis Rashidy says:

    Nahitaj kujionga jeshi la police na nipo tayar kufanya kaz sehem yoyote