JOSEPHINE Julius Nyirenda ni Mnyama
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
JOSEPHINE Julius Nyirenda ni Mnyama
JOSEPHINE Julius Nyirenda ni Mnyama, Klabu ya Simba Queens imekamilisha usajili wa Mlinzi wa kulia, Josephine Julius Nyirenda kutoka Baobab Queens ya Iringa kwa mkataba wa miaka miwili.
Josephine ni kijana mdogo mwenye miaka 20 ambaye bado ana nguvu ya kucheza mpira kwa muda mrefu kutoka sasa.
Msimu uliopita Josephine amehusika kwenye mabao nane ya Baobab akifunga manne na kutoa ‘assisti‘ nne.
Josephine anategemewa kuwa msaada mkubwa kwenye Kikosi Cha simba Queens kutokana na ubora alionao hasa ukizingatia umri wake.