KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

KAULI ya Gamondi Kuelekea mchezo vs Simba April 20-2024

Filed in Michezo by on 19/04/2024 0 Comments

KAULI ya Gamondi Kuelekea mchezo vs Simba April 20-2024

KAULI ya Gamondi Kuelekea mchezo vs Simba April 20-2024

KAULI ya Gamondi Kuelekea mchezo vs Simba April 20-2024

KAULI ya Gamondi Kuelekea mchezo vs Simba April 20-2024, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema wamejiandaa kwenda kutafuta ushindi katika mchezo dhidi ya Simba ambao utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa.

Akizungumza katika Mkutano na Wanahabari mapema leo, Gamondi amesema kuwa malengo ya kikosi chake ni kushinda mchezo huo ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kubeba ubingwa.

“Tumejiandaa vizuri kwa ajili ya mchezo huu. Hii ni mechi kubwa sio kwa Tanzania tu bali Afrika nzima”

“Tunajua haitakuwa mechi rahisi lakini jambo muhimu kwetu ni kuhakikisha tunacheza katika mpango wetu”

“Nafahamu matarajio ya mashabiki wetu kuelekea mchezo huu ni makubwa, najua pia sio rahisi kufunga mabao matano katika kila mchezo”

“Tumekuwa na wakati mzuri katika mechi zilizopita, jambo muhimu ni kuendeleza ubora huo ambao tumeonyesha,” alisema Gamondi.

Gamondi pia amesema kuwa hii ni mechi yao, mashabiki wajitokeze kwa wingi kama walivyofanya katika mechi zilizopita, wawe na timu katika nyakati zote

Ni mechi nyingine ya kuitangaza Ligi ya Tanzania Kimataifa hivyo Gamondi anaamini itakuwa mechi ya ushindani ambayo itazingatia Fair Play

Kwa upande wa nahodha Msaidizi Dickson Job yeye amesema kuwa kama wachezaji wanatambua mchezo huo utakuwa mgumu na wenye upinzani lakini wamejipanga, watapambana kuhakikisha wanapata ushindi

“Sisi tumejipanga kupambana katika mchezo huu kupata matokeo mazuri. Tunatambua mchezo utakuwa mgumu lakini sisi tumejiandaa kushinda,” alisema Job

Kupitia Nijuze Habari utaweza kufuatilia Update zote za mchezo huo, dakika baada ya dakika hadi dakika 90 ukobofya hapa.

 

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *