KENNEDY Juma Apewa Thank You Simba
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
KENNEDY Juma Apewa Thank You Simba
KENNEDY Juma Apewa Thank You Simba,Simba yaachana na Kennedy Wilson Juma, Simba yamuacha Kennedy Juma, Kennedy Juma aachana na Simba, Simba yaachana na Kennedy Wilson Juma 2024.
Baada ya miaka mitano aliyodumu ndani ya klabu yetu mlinzi wa kati Kennedy Wilson Juma hatokuwa sehemu ya kikosi chetu kuelekea msimu mpya wa 2024/2025 baada ya mkataba wake kumalizika.
Kennedy alijiunga Simba Julai 2019 akitokea Singida United na amekuwa akifanya vizuri uwanjani kila anapopata nafasi.
Kennedy amekuwa mmoja ya wachezaji watulivu na wasikivu ndani ya kikosi Cha Simba na amekuwa akifanya kila anachotakiwa ndani ya muda unaohitajika.
Pamoja na ubora na uwezo alionao Kennedy lakini hayupo kwenye mipango ya kusuka kikosi imara kuelekea msimu ujao wa mashindano hivyo Klabu haikumuongezea mkataba.
Uongozi wa Simba unamshukuru Kennedy Juma kwa utumishi wake uliotukuka na kumtakia kheri katika maisha yake mapya ya soka nje ya Simba.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Kennedy Juma aachana na Simba, KENNEDY Juma Apewa Thank You Simba, Simba yaachana na Kennedy Wilson Juma, Simba yaachana na Kennedy Wilson Juma 2024., Simba yamuacha Kennedy Juma
At least simba lile panga la kusafisha safisha limeanza kufanya kazi
Well done nijuze habari👍