KHOMEINI Abubakari Kumrithi Metacha Yanga
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
KHOMEINI Abubakari Kumrithi Metacha Yanga
KHOMEINI Abubakari Kumrithi Metacha Yanga,Klabu ya Yanga imefanya mazungumzo na Singida Fountain Gate kwaajili ya kumsajili mlinda lango, Khomeini Abubakari ambaye amebakisha mkataba wa mwaka mmoja.
Khomein alijiunga na Singida Fountain Gate akitokea Geita Gold ambapo msimu wa 2022/23 alikuwa kwenye tatu bora ya wanaowania tuzo ya Kipa Bora.
Klabu hiyo tayari imeachana na mlinda lango Metacha Mnata baada ya mkataba wake wa mwaka mmoja na nusu kumalizika.
Aidha Yanga tayari imuongezea mkataba wa miaka miwili mlinda lango namba moja Djigui Diarra huku taarifa zikidai kuwa pia Aboutwalib Mshery naye anatarajiwa kusaini mkataba mpya
Endapo usajili huo itakamilika ni wazi Khomein ndiye atakayerithi mikoba iliyoachwa na Metacha Mnata.