KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

KIBU Denis agoma Kusaini Mkataba Mpya Simba

Filed in Usajili, Michezo by on 02/05/2024 0 Comments

KIBU Denis agoma Kusaini Mkataba Mpya Simba

KIBU Denis agoma Kusaini Mkataba Mpya Simba

KIBU Denis agoma Kusaini Mkataba Mpya Simba

KIBU Denis agoma Kusaini Mkataba Mpya Simba, Kiungo Mshambuliaji wa Klabu ya Simba, Kibu Dennis ambaye kwa sasa anapambania hali yake kurejea kwenye ubora wake ametajwa kugomea Mkataba Mpya.

Taarifa zaidi zinaeleza kuwa mabosi wa Simba walizungumza naye kwaajili ya kumpa mkataba mpya na wakafikia kwenye maslahi mazuri lakini akagoma kusaini.

Mkataba wa Kibu Denis na Simba unatajiwa kufikia tamati mwishoni mwa msimu 2023/2024 hivyo kama hatasaini mkataba mpya ataondoka Bure.

Msimu huu Kibu Denis hana takwimu Bora sana ambapo ameifungia Simba bao 1 na kutoa pasi za mabao 2 kwenye mechi za Ligi alizocheza mpaka sasa pamoja na kuwa anapata nafasi kubwa ya kuanza kwenye Kikosi Cha Kwamza.

Bao pekee ambalo kibu amelifunga msimu huu ni lile la kufutia machozi wakati Yanga ikiifunga Simba kwa mabao 5-1 kwenye mchezo wa kwanza wa ligi msimu huu baina ya timu hizo.

Aidha Vilabu vya Yanga Azam vinatajwa Kuiwinda saini kiungo huyo ikiwa vimewasilisha ofa lakini wasimamizi wa Kibu Denis wanapiga hesabu za mwisho za kukubali ofa ipi na ipi ikataliwe.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *