KIKOSI Bora Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
KIKOSI Bora Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
KIKOSI Bora Ligi Kuu ya NBC 2023/2024, Kikosi bora cha Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara 2023-24,Kikosi bora ligi kuu ya nbc 2023 2024,Kikosi bora ligi kuu ya nbc 2023 2024 live, TFF Awards 2024,Tuzo Za TFF, TFFAwards.
TUZO ZA TFF | Kikosi bora cha msimu kwenye NBC Premier League
Katika hafla wa utoaji wa tuzo za TFF uliofanyika August 01-2024 katika ukumbi wa Super Dome, Masaki, hiki hapa ndicho Kikosi Bora Cha msimu uliopita wa 2023/2024 kwa mujibu wa Shirikisho la Soka (TFF) ambalo ndilo linalosimamia Mpira nchini Tanzania.
KIKOSI BORA CHA WACHEZAJI 11 MSIMU WA 2024/2025 NI KAMA IFUATAVYO;
- Ley Matampi – Coastal Union.
- Yao Kouassi – Yanga SC.
- Mohammed Hussein – Simba SC.
- Ibrahim Abdallah – Yanga SC.
- Dickson Job – Yanga SC.
- Mudathir Yahya – Yanga SC.
- Maxi Nzengeli – Yanga SC.
- Feisal Salum – Azam FC.
- Wazir Junior – KMC FC.
- Stephen Aziz Ki – Yanga SC.
- Kipre Junior – Azam FC.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Kikosi bora cha Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara 2023-24, Kikosi bora ligi kuu ya nbc 2023 2024 live, KIKOSI Bora Ligi Kuu ya NBC 2023/2024, TFF Awards 2024, TFFAwards., Tuzo Za TFF