SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA


MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZAĀ HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA


JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA


KIKOSI Cha Simba Kinachoifuata Al Ahly Misri

Filed in Michezo by on 02/04/2024 0 Comments

KIKOSI Cha Simba Kinachoifuata Al Ahly Misri

KIKOSI Cha Simba Kinachoifuata Al Ahly Misiri,Traveling Squad Simba vs Al Ahly, Kikosi Cha simba Kinachoifuata Al Ahly April 03-2024, Simba yaifuata Al Ahly Robo Fainali CAF Champions League 2024, Kikosi Cha simba SC kinachosafiri kuifuata Al Ahly SC.

KIKOSI Cha Simba Kinachoifuata Al Ahly Misri

KIKOSI Cha Simba Kinachoifuata Al Ahly Misri,Traveling Squad Simba vs Al Ahly, Kikosi Cha simba Kinachoifuata Al Ahly April 03-2024, Simba yaifuata Al Ahly Robo Fainali CAF Champions League 2024, Kikosi Cha simba SC kinachosafiri kuifuata Al Ahly SC, LIVE Al Ahly vs Simba April 05-2024.

Kikosi cha Simba tayari kimekamilisha maandalizi ya mwisho kabla ya safari Misri Alfajiri ya kesho Jumatano April 03-2024 kwaajili ya mchezo wa Mkondo wa Pili wa Robo Fainali ya CAF Champions League 2023/2024 dhidi ya Al Ahly ya nchini humo.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Ijumaa ya April 05-2024 kuanzia Saa 5:00 Usiku kwenye Uwanja wa Cairo International.

KIKOSI Cha Simba Kinachoifuata Al Ahly Misri

KIKOSI Kamili Kitakachosafiri kwenda Misri kwaajili ya mchezo ni kama ifuatavyo!

MAKIPA
1:Ayoub Lakred
2:Ally Salim
3:Hussein Abel

MABEKI
4:Israel Mwenda
5:Shomari Kapombe
6:Mohamed Hussein
7:Henock Inonga
8:David Kameta
9:Hussein Kazi
10:Che Fondoh Malone
11:Kennedy Juma

VIUNGO
12:Sadio Kanoute
13:Babacar Sarr
14:Mzamiru Yassin
15:Fabrice Ngoma
16:Saido Ntibanzonkiza
17:Abdallah Hamis
18:Kibu Denis
19:Clatous Chama
20:Willy Esomba Onana
21:Luis Miquissone

WASHAMBULIAJI
22:Freddy Michael
23:Pa Omary Jobe

KIKOSI Cha Simba Kinachoifuata Al Ahly Misri,Traveling Squad Simba vs Al Ahly, Kikosi Cha simba Kinachoifuata Al Ahly April 03-2024, Simba yaifuata Al Ahly Robo Fainali CAF Champions League 2024, Kikosi Cha simba SC kinachosafiri kuifuata Al Ahly SC, LIVE Al Ahly vs Simba April 05-2024.Matangazo ya Moja Kwa Moja ya mchezo huo yatakujia Kupitia Nijuze Habari Blog Kuanzia Saa 5:00 Usiku, bonyeza hapa Kufuatilia dakika baada ya dakika hadi dakika 90 za mchezo huo.

About Nijuze Habari Blog

About Nijuze Habari, About Nijuze Habari 24,Nijuze Habari -| Pata Habari zote za Michezo na Usajili, Magazeti, Ratiba na Matokeo na Nafasi Mpya za Ajira.

About Nijuze Habari

About Nijuze Habari Blog, About Nijuze Habari, About Nijuze Habari 24,Nijuze Habari -| Pata Habari zote za Michezo na Usajili, Magazeti, Ratiba na Matokeo na Nafasi Mpya za Ajira, Nijuze Habari 24, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Ratiba.

Nijuze Habari ni Blog ya Kiswahili Maarufu Duniani kwa Habari za Magazeti, Habari za Michezo, Nafasi za Ajira Mpya na Tetesi za Usajili.

Nijuze Habari inakuletea Nafasi za Kazi kila siku, Makala Mbali mbali Pamoja na Kutazama Ratiba na Matokeo ya Ligi zote Duniani, Matokeo ya EPL, Matokeo ya Bundesliga, Matokeo ya Seria A, Matokeo ya La Liga, Matokeo ya League 1, Matokeo ya NBC Premier League.

Nijuze Habari inakuwezesha kutazama Matokeo ya moja kwa moja (LIVE Updates) wakati mechi zinaendelea za Simba na Yanga kwenye Ligi Kuu ya NBC na kwenye michezo ya CAF pamoja na Michezo mingine itakayoshiriki

Nijuze Habari pia inakuleta Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Wafungaji Bora, Makipa Bora, Wachezaji Bora, Vikosi vya Simba na Yanga, ratiba za Simba, Yanga na Azam FC, Matokeo ya Simba SC, Matokeo ya Yanga, ratiba ya Bundesliga, ratiba ya EPL, ratiba ya Seria A, ratiba ya League 1, ratiba ya La Liga.

About Nijuze Habari Blog

Nijuze Habari pia inakuletea Matokeo ya NECTA Tanzania na Zanzibar, Yanayojiri Magazetini Kila Siku, Habari Kubwa za Magazeti Pamoja Vichwa vya Habari za Magazeti.

Matokeo ya NECTA Darasa la Nne, Matokeo ya NECTA Darasa la Saba, Matokeo ya NECTA Kidato cha Kwanza, Matokeo ya NECTA Kidato cha Nne, Matokeo ya NECTA ya Form 6 na Nyuo Mbali Mbali, Pamoja Waliochaguliwa kujiunga na Kidato Cha Kwanza na Kidato Cha Tano.

Pia Nijuze Habari inakuletea taarifa zote Bodi ya Mikopo ya Elimu Juu HESLB, Nafasi za Ajira zinazotangazwa kila Siku na Taasisi Mbalimbali kama Ajiraportal na Makampuni Mbalimbali, Wanaoitwa Kazini kila siku na Wanaoitwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za Serikalini na Makampuni kila Siku, Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC.

PIA UNAWEZA KUSOMAšŸ‘‡

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *