KIKOSI Cha Simba vs Fountain Gate August 25-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
Klabu ya Simba SC Leo Jumapili August 25-2024 inacheza mchezo Pili wa Ligi Kuu ya NBC dhidi Fountain Gate FC.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa KMC Complex, Jijini Dar Es Salaam Kuanzia Saa 10:00 Jioni.
SOMA NA HII |KIKOSI cha Simba SC msimu huu wa 2024/2025
Kuelekea mchezo huo Nijuze Habari imekuwekea hapa Kikosi Cha Simba kinachoanza dhidi ya Fountain Gate FC, hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Fountain Gate FC Leo, Simba SC vs Fountain Gate.
1:Moussa Camara
2:Shomari Kapombe
3:Mohamed Hussein (C)
4:Abdulrazack Hamza
5:Che Fondoh Malone
6:Mzamiru Yassin
7:Edwin Balua
8:Debora Fernandes
9:Steven Mukwala
10:Jean Charles Ahoua
11:Awesu Awesu
Wachezaji wa Akiba
12:Ally Salim
13:Kelvin Kijili
14:Hussein Kazi
15:Yusuph Kagoma
16:Augustine Okajepha
17:Kibu Denis
18:Valentino Mashaka
19:Daruwesh Ahmed
20:Okech Nyembe
Wachezaji wawili kutoka timu ya vijana ya Simba chini ya umri wa miaka 20 Daruwesh Ahmed na Okech Nyembe wamejumuishwa kwenye kikosi cha wachezaji 20 watakaoivaa Tabora United.
Maamuzi ya kuwajumuisha wachezaji hao ni takwa la kanuni mpya ya Bodi msimu wa 2024/25 ikitaka vijana wasiopungua walau wawili wawepo kwenye kikosi kinachocheza.