KIKOSI Cha Simba vs Telecom Egypt Leo July 28-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
KIKOSI Cha Simba vs Telecom Egypt Leo July 28-2024
KIKOSI Cha Simba vs Telecom Egypt Leo July 28-2024,Kikosi Simba vs Telecom Egypt SC Leo tarehe 28 July 2024, Kikosi kinachoanza Cha Simba SC vs Telecom Egypt sc Julai 28-2024, Kikosi simba vs Telecom Egypt SC mechi ya Kirafiki Julai 28-2024, Telecom Egypt sc vs Simba SC July 28-2024.
Klabu ya Simba SC itacheza mchezo unaofuata dhidi ya Telecom Egypt SC inayoshiriki Ligi Daraja la Pili nchini Misri, ukiwa ni mchezo wa Pili wa Kirafiki kujiandaa na msimu mpya wa 2024/2025.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Leo Jumapili Julai 28, 2024 kwenye Uwanja wa Mercure, Mjini Ismailia, Egypt Kuanzia Saa 1:00 Usiku.
Tembelea Nijuze Habari mara kwa mara kupata Kikosi Cha Simba SC kinachoanza dhidi ya Telecom Egypt SC, hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Telecom Egypt Leo, Kikosi Cha Simba SC vs Telecom Egypt SC Leo.
KIKOSI Cha Simba vs Telecom Egypt SC Leo July 28-2024
Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa Mlinda lango, Moussa Camara kutoka klabu ya Horoya Ac ya nchini kwao Guinea.
Moussa Camara ndiye mrithi Ayoub Lakred aliyepata majeraha kwenye pre-season ya Simba inayoendelea Misri.
Inaelezwa kuwa Simba imekamilisha mazungumzo kumsajili Camara na huenda akatua nchini leo kukamilisha mchakato wa usajili wake.
Ni wazi ujio wa mlinda lango huyo unamaanisha Lakred aliyekuwa ameongeza mkataba wa mwaka mmoja, atampisha.
Lakred alipata majeraha ambayo taarifa za awali zilibainisha kuwa anaweza kukaa nje kwa takribani wiki nane sawa na miezi miwili.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: KIKOSI Cha Simba vs Telecom Egypt Leo July 28-2024, Kikosi kinachoanza Cha Simba SC vs Telecom Egypt sc Julai 28-2024, Kikosi Simba vs Telecom Egypt SC Leo tarehe 28 July 2024, Kikosi simba vs Telecom Egypt SC mechi ya Kirafiki Julai 28-2024, Telecom Egypt sc vs Simba SC July 28-2024.