KIKOSI Cha Tanzania vs Ethiopia na Guinea Kujiandaa na AFCON 2025
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
Kikosi Cha Tanzania kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025 dhidi ya Ethiopia na Guinea.
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars), Hemed Morocco ametaja kikosi cha wachezaji 23 kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025 dhidi ya Ethiopia na Guinea.
MAKIPA;
- Ally Salim – Simba SC.
- Aboutwalib Mshery – Young Africans.
- Yona Amos – Pamba Jiji.
MABEKI;
- Lusajo Mwaikenda – Azam FC.
- Nathanael Chilambo – Azam FC.
- Mohamed Hussein – Simba SC.
- Dickson Job – Young Africans.
- Ibrahim Abdallah – Young Africans.
- Paschal Msindo – Azam FC.
- Nickson Kibabage – Young Africans.
- Bakari Mwamnyeto – Young Africans.
- Adolf Mtasingwa – Azam FC.
- Abdulmarick Zakaria – Mashujaa FC.
- Soma na hizi: RATIBA raundi ya Kwanza CAF Champions League 2024-2025
- RATIBA raundi ya Kwanza CAF Confederation Cup 2024-2025
VIUNGO;
- Novatus Dismas – Gotsepe, Uturuki.
- Himid Mao – Talaal El Geish, Misri.
- Mudathir Yahya – Young Africans
- Edwin Balua – Simba SC.
- Feisal Salum – Azam FC.
- Hussein Semfuko – Coastal Union.
WASHAMBULIAJI;
- Waziri Junior – Dodoma Jiji.
- Clement Mzize – Young Africans
- Cryprian Kachwele – Vancouver Whitecaps, Canada.
- Abel Josiah – TDS TFF Academy.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: KIKOSI Cha Tanzania vs Ethiopia na Guinea Kujiandaa na AFCON 2025