RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

KIKOSI Cha Yanga vs Coastal Union April 27-2024

Filed in Michezo by on 27/04/2024 0 Comments

KIKOSI Cha Yanga vs Coastal Union April 27-2024

KIKOSI Cha Yanga vs Coastal Union April 27-2024,Kikosi Cha yanga vs Coastal Union April 27-2024, Kikosi Cha yanga kinachoanza dhidi ya Coastal Union FC April 27-2024, yanga vs Coastal Union lineups Leo April 27-2024, Young Africans vs Coastal Union Leo.

KIKOSI Cha Yanga vs Coastal Union April 27-2024

KIKOSI Cha Yanga vs Coastal Union April 27-2024,Kikosi Cha yanga vs Coastal Union April 27-2024, Kikosi Cha yanga kinachoanza dhidi ya Coastal Union FC April 27-2024, yanga vs Coastal Union lineups Leo April 27-2024, Young Africans vs Coastal Union Leo.

Klabu ya Yanga SC itacheza mchezo unaofuata dhidi ya Coastal Union FC, Young Africans vs Coastal Union, Matokeo ya Yanga SC dhidi ya Coastal Union Ligi Kuu ya NBC Leo April 27,2024. JINSI ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2024/2025

Mchezo huo wa raundi ya 25 ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024 unatarajiwa kupigwa Leo Jumamosi April 27, 2024 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Jijini Dar Es Salaam Kuanzia Saa 12:00 Jioni.

Tembelea Nijuze Habari mara kwa mara kupata Kikosi Cha Yanga SC kinachoanza dhidi ya Coastal Union, hiki hapa Kikosi cha Yanga kinachoanza dhidi ya Coastal Union Leo, Kikosi Yanga vs Coastal Union Leo.

KIKOSI Cha Yanga vs Coastal Union April 27-2024

1:Djigui Diarra
2:Kouassi Yao
3:Nickson Kibabage
4:Dickson Job
5:Bakari Mwamnyeto (C)
6:Khalid Aucho
7:Max Nzengeli
8:Mudathir Yahya
9:Joseph Guede
10:Stephen Aziz Ki
11:Kennedy Musonda

Wachezaji wa Akiba
12:Abutwalib Mshery
13:Kibwana Shomari
14:Gift Fred
15:Zawadi Mauya
16:Salum Abubakar
17:Farid Mussa
18:Clement Mzize
19:Skudu Makudubela
20:Shekhan Ibrahim

BONYEZA HAPA KUSIKILIZA MATANGAZO HAYA MUBASHASHARA


Head-to-head record Last 5 matches Young Africans 5 wins Draws 0 Coastal Union 0 wins

8 November 2023 NBC Premier League
FT Coastal Union 0 – 1 Young Africans

20 December 2022 NBC Premier League
FT Young Africans 3 – 0 Coastal Union

20 August 2022 NBC Premier League
FT Coastal Union 0 – 2
Young Africans

15 June 2022 NBC Premier League
FT Young Africans 3 – 0
Coastal Union

16 January 2022 Tanzanian Premier League
FT Coastal Union 0 – 2
Young Africans

Young Africans Sports Club (inayojulikana sana kama Yanga) ni klabu ya soka inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania yenye maskani yake mtaa wa Jangwani Wilaya ya Ilala katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania.

Klabu hiyo iliyoanzishwa mwaka 1935, inacheza michezo yake ya nyumbani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo kata ya Miburani Wilaya ya Temeke.

Imepewa jina la utani la Yanga Timu ya Wananchi, klabu hii imeshinda mataji 29 ya Ligi Kuu ya Tanzania na idadi ya vikombe vya nyumbani, na imeshiriki mara nyingi Ligi ya Mabingwa Afrika CAF.

Wameshinda Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA mara tano. Klabu hiyo iliorodheshwa kati ya vilabu kumi bora barani Afrika, katika nambari ya 3, na Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Soka na Takwimu (IFFHS) katika viwango vyao vya 1 Septemba 2023 – 30 Agosti 2023.

Ulimwenguni, klabu iliorodheshwa katika nambari 104 katika Orodha ya Dunia ya IFFHS.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *