RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

KIKOSI Cha Yanga vs JKT Tanzania April 24-2024

Filed in Michezo by on 24/04/2024 0 Comments

KIKOSI Cha Yanga vs JKT Tanzania April 24-2024

MATOKEO Yanga vs JKT Tanzania April 24-2024

KIKOSI Cha Yanga vs JKT Tanzania April 24-2024

KIKOSI Cha Yanga vs JKT Tanzania April 24-2024,Kikosi Cha yanga vs JKT Tanzania April 24-2024, Kikosi Cha yanga kinachoanza dhidi ya JkT Tanzania April 24-2024, yanga vs JKT Tanzania lineups Leo April 24-2024, Yanga vs JkT Tanzania Leo.

Klabu ya Yanga SC itacheza mchezo unaofuata dhidi ya JKT Tanzania FC, Young Africans vs JKT Tanzania, Matokeo ya Yanga SC dhidi ya JKT Tanzania Ligi Kuu ya NBC Leo April 24,2024. JINSI ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2024/2025

Mchezo huo wa raundi ya 24 ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024 unatarajiwa kupigwa Leo Jumatano April 24, 2024 kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Jijini Dar Es Salaam Kuanzia Saa 10:00 Jioni.

Tembelea Nijuze Habari mara kwa mara kupata Kikosi Cha Yanga SC kinachoanza dhidi ya JKT Tanzania, hiki hapa Kikosi cha Yanga kinachoanza dhidi ya JkT Tanzania FC Leo, Kikosi Yanga vs JkT Tanzania Leo.

KIKOSI Cha Yanga vs JKT Tanzania April 24-2024

1:Djigui Diarra
2:Kouassi Yao
3:Nickson Kibabage
4:Dickson Job (C)
5:Ibrahim Abdallah
6:Khalid Aucho
7:Max Nzengeli
8:Augustine Okrah
9:Joseph Guede
10:Stephen Aziz Ki
11:Kennedy Musonda

Wachezaji wa Akiba
12:Aboutwalib Mshery
13:Bakari Mwamnyeto
14:Gift Fred
15:Zawadi Mauya
16:Jonas Mkude
17:Farid Mussa
18:Clement Mzize
19:Skudu Makudubela
20: Shekhan Ibrahim


Head to head ya mechi 5 za mwisho walizokutana JKT Tanzania hajashinda mechi hata moja, ametoa sare 1, huku Young Africans wakipata ushindi mara mechi 4.

29 August 2023 NBC Premier League
FT Young Africans 5 – 0 JKT Tanzania

19 May 2021 NBC Premier League
FT JKT Tanzania 0 – 2 Young Africans

28 November 2020 NBC Premier League
FT Young Africans 1 – 0 JKT Tanzania

17 June 2020 NBC Premier League
FT JKT Tanzania 1 – 1 Young Africans

22 November 2019 · Tanzanian Premier League
FT Young Africans 3 – 2 JKT Tanzania

Yanga SC

Yanga SC

Young Africans Sports Club (inayojulikana sana kama Yanga) ni klabu ya soka inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania yenye maskani yake mtaa wa Jangwani Wilaya ya Ilala katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania.

Klabu hiyo iliyoanzishwa mwaka 1935, inacheza michezo yake ya nyumbani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo kata ya Miburani Wilaya ya Temeke.

Imepewa jina la utani la Yanga Timu ya Wananchi, klabu hii imeshinda mataji 29 ya Ligi Kuu ya Tanzania na idadi ya vikombe vya nyumbani, na imeshiriki mara nyingi Ligi ya Mabingwa Afrika CAF.

Wameshinda Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA mara tano. Klabu hiyo iliorodheshwa kati ya vilabu kumi bora barani Afrika, katika nambari ya 3, na Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Soka na Takwimu (IFFHS) katika viwango vyao vya 1 Septemba 2023 – 30 Agosti 2023.

Ulimwenguni, klabu iliorodheshwa katika nambari 104 katika Orodha ya Dunia ya IFFHS.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *