SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA


MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZA HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA


JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA


KIKOSI Cha Yanga vs Simba April 20-2024

Filed in Michezo by on 20/04/2024 0 Comments

KIKOSI Cha Yanga vs Simba April 20-2024

KIKOSI Cha Yanga vs Simba April 20-2024,Kikosi Cha yanga vs Simba April 20-2024, Kikosi Cha yanga kinachoanza dhidi ya Simba April 20-2024, yanga vs Simba SC lineups, Yanga vs Simba Leo, Young Africans vs Simba SC Kikosi cha LeoKikosi cha yanga vs simba live,Kikosi cha yanga vs simba prediction,Kikosi cha Yanga Leo 2024.

KIKOSI Cha Yanga vs Simba April 20-2024

KIKOSI Cha Yanga vs Simba April 20-2024,Kikosi Cha yanga vs Simba April 20-2024, Kikosi Cha yanga kinachoanza dhidi ya Simba April 20-2024, yanga vs Simba SC lineups, Yanga vs Simba Leo, Young Africans vs Simba SC Kikosi cha Leo Kikosi cha yanga vs simba live,Kikosi cha yanga vs simba prediction,Kikosi cha Yanga Leo 2024.

Klabu ya Yanga SC itacheza mchezo unaofuata dhidi ya Simba SC, Young Africans vs Simba SC, Matokeo ya Yanga SC dhidi ya Simba Ligi Kuu ya NBC Leo April 20,2024. JINSI ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2024/2025

Mchezo huo wa raundi ya 23 ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024 unatarajiwa kupigwa Leo Jumamosi ya April 20, 2024 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar Es Salaam Kuanzia Saa 11:00 Jioni.

Tembelea Nijuze Habari mara kwa mara kupata Kikosi Cha Yanga SC kinachoanza dhidi ya Simba SC, hiki hapa Kikosi cha Yanga kinachoanza dhidi ya Simba Leo, Kikosi Yanga vs Simba Leo.

KIKOSI Cha Yanga vs Simba April 20-2024

1:Djigui Diarra
2:Kouassi Yao
3:Joyce Lomalisa
4:Dickson Job (C)
5:Ibrahim Abdallah
6:Khalid Aucho
7:Max Nzengeli
8:Mudathir Yahya
9:Joseph Guede
10:Stephen Aziz Ki
11:Clement Mzize

Wachezaji wa Akiba
12:Aboutwalib Mshery
13:Kibwana Shomari
14:Nickson Kibabage
15:Bakari Mwamnyeto
16:Jonas Mkude
17:Farid Mussa
18:Salum Abubakar
19:Kennedy Musonda
20:Augustine Okrah

Head-to-head ya mechi 5 za mwisho walizokutana Yanga amefanikiwa kupata ushindi mara 1 tu, wametoka sare mara 3 hukh Simba nao wakipata ushindi mara 1 tu.

05 November 2023 NBC Premier League
FT Simba 1 – 5 Young Africans

16 April 2023 NBC Premier League
FT Simba 2 – 0 Young Africans

23 October 2022 NBC Premier League
FT Young Africans 1 – 1 Simba

30 April 2022 NBC Premier League
FT Young Africans 0 – 0 Simba

11 December 2021 NBC Premier League
FT Simba 0 – 0 Young Africans

Yanga SC

Yanga SC

Young Africans Sports Club (inayojulikana sana kama Yanga) ni klabu ya soka inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania yenye maskani yake mtaa wa Jangwani Wilaya ya Ilala katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania.

Klabu hiyo iliyoanzishwa mwaka 1935, inacheza michezo yake ya nyumbani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo kata ya Miburani Wilaya ya Temeke.

Imepewa jina la utani la Yanga Timu ya Wananchi, klabu hii imeshinda mataji 29 ya Ligi Kuu ya Tanzania na idadi ya vikombe vya nyumbani, na imeshiriki mara nyingi Ligi ya Mabingwa Afrika CAF.

Wameshinda Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA mara tano. Klabu hiyo iliorodheshwa kati ya vilabu kumi bora barani Afrika, katika nambari ya 3, na Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Soka na Takwimu (IFFHS) katika viwango vyao vya 1 Septemba 2023 – 30 Agosti 2023.

Ulimwenguni, klabu iliorodheshwa katika nambari 104 katika Orodha ya Dunia ya IFFHS.


Simba vs Yanga live today, Simba vs Yanga leo,Young africans vs simba prediction,Young africans vs simba stats,Simba vs Yanga live, Azam TV online today,Simba vs Yanga results today, where to watch simba s.c. vs young africans,Simba vs Yanga live today time,Young africans vs simba lineups.

Simba SCSimba Sports Club ni klabu ya soka inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania yenye maskani yake mtaa wa Kariakoo Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania.

Klabu hiyo Ilianzishwa mwaka wa 1936 kama ikiitwa Sunderland na mwaka 1971 ikabadilishwa jina na kuitwa Simba SC, Jina la utani la timu hiyo, (Wekundu wa Msimbazi), ni kumbukumbu ya watani wao wote wenye wekundu na Mtaa wa Msimbazi uliopo Kariakoo yalipo maskani yao.

Wingi wa Mashabiki wa Simba Sports Club ni moja kati ya klabu kubwa nchini Tanzania huku wachezaji wengine wakiongozwa na mkali Isaac Beck.

Simba SC imeshinda mataji 22 ya Ligi Kuu na imeshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika mara nyingi.

Pia ni miongoni mwa vilabu vikubwa Afrika Mashariki na Kati, baada ya kutwaa Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA mara sita.

Simba ikicheza mechi zake za nyumbani hutumia Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo kata ya Miburani Wilaya ya Temeke kama Uwanja wao wa nyumbani.

Klabu hiyo iliorodheshwa kati ya vilabu kumi bora barani Afrika ikishika nambari 10, na Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Kandanda na Takwimu (IFFHS) katika viwango vyao vya Mei 1, 2022 – Aprili 30, 2023.

Ulimwenguni, klabu iliorodheshwa katika nambari 105 katika Orodha ya Dunia ya IFFHS.

Klabu hii ni mojawapo ya matajiri zaidi katika Afrika Mashariki, ikiwa na jumla ya bajeti ya TSh 6.1 bilioni (sawa na $5.3 milioni) iliyozinduliwa kwa msimu wa 2019/2020.

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *