KIKOSI Cha Yanga vs Vital’O FC August 24-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
Klabu ya Young Africans Leo Jumamosi August 24-2024 inacheza dhidi ya Vital’O FC ya Burundi, ukiwa ni mchezo wa pili hatua ya awali CAF Champions League C 2024.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex Jijini Dar Es Salaam Kuanzia Saa 1:00 Usiku.
Soma hii: KIKOSI cha Yanga SC msimu huu wa 2024/2025
Kuelekea mchezo huo Nijuze Habari tumekuwekea Kikosi Cha Yanga kinachoanza dhidi ya Vital’O hapa chini, hiki hapa Kikosi cha Yanga kinachoanza dhidi ya Vital’O FC Leo.
Kikosi Cha Young Africans vs Vital’O FC CAF Champions League Leo.
KIKOSI Cha Yanga vs Vital’O FC August 24-2024
1:Dijgui Diara
2:Aziz Andabwile
3:Bakari Mwamnyeto (C)
4:Dickson Job
5:Jonas Mkude
6:Duke Abuya
7:Kennedy Musonda
8:Nickson Kibabage
9:Clement Mzize
10:Clatous Chama
11:Pacome Zouzoua.
Soma na hii: MATOKEO Yanga vs Vital’O August 24-2024
Wachezaji wa Akiba
12:Aboutwalib Mshery
13:Kibwana Shomari
14:Denis Nkane
15:Khalid Aucho
16:Mudathir Yahya
17:Max Nzengeli
18:Salum Abubakar
19:Prince Dube
20:Stephen Aziz Ki