RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

KIKOSI Simba vs El Qanah FC July 22-2024

Filed in Uncategorized, Michezo by on 10/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

KIKOSI Simba vs El Qanah FC July 22-2024

KIKOSI Simba vs El Qanah FC July 22-2024,Kikosi Cha Simba vs El Qanah FC Leo Julai 22-2024,Kikosi Cha Simba vs El Qanah Leo July 22-2024,Kikosi Cha Simba SC vs El Qanah FC Leo tarehe 22 July-2024, Simba SC vs Julai 22-2024.

Klabu ya Simba SC itacheza mchezo ujao dhidi ya El Qanah FC inayoshiriki Ligi Daraja la Pili nchini Misri, ukiwa ni mchezo wa Kwanza wa Kirafiki kujiandaa na msimu mpya wa 2024/2025.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Leo Jumatatu Julai 22, 2024 kwenye Uwanja wa Suez Kanal, Mjini Ismailia, Egypt Kuanzia Saa 11:30 Jioni.

Tembelea Nijuze Habari mara kwa mara kupata Kikosi Cha Simba SC kinachoanza dhidi ya El Qanah FC, hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya El Qanah FC Leo, Kikosi Cha Simba vs El Qanah FC Leo.

KIKOSI Simba vs El Qanah FC July 22-2024

Mechi nyingine ya kirafiki ya Simba ambayo imethibitishwa inatarajiwa kuchezwa Julai 29, dhidi ya Al- Adalah FC inayoshiriki Ligi Daraja la kwanza Saudi Arabia.

Kutoka mechi ya El Qanah FC hadi Al-Adalah kuwa na takribani wiki moja Simba inaangalia uwezekano wa kupata michezo mingine ya kirafiki kabla ya timu kurejea nyumbani Tanzania.

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , ,

Comments are closed.