KINDA Azam FC Atua Simba SC
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
KINDA Azam FC Atua Simba SC
KINDA Azam FC Atua Simba SC, uongozi wa klabu ya Simba umeendelea kuimarisha kikosi chao baada ya kukamilisha usajili wa kinda kutoka timu ya vijana chini ya miaka 20 (U-20) ya Azam FC, Mohamoud Haji.
Kinda huyo akiwa na timu ya vijana ya Azam FC, kwenye mechi 19 alizocheza amefunga mabao 11 kati ya hayo ana hat-trick moja ana ametoa pasi tatu za mwisho zilizozaa mabao.
Kinda huyo anatua Simba kwa mkataba wa miaka miwili lakini ataanzia timu ya vijana kabla ya kupandishwa timu ya Wakubwa.