KUITWA Kazini INEC Shinyanga Municipal Council August 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
KUITWA Kazini INEC Shinyanga Municipal Council August 2024
KUITWA Kazini INEC Shinyanga Municipal Council August 2024, Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Shinyanga Mjini anapenda kuwatangazia waombaji wa kazi ya muda ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, kuhudhuria Mafunzo yatakayo fanyika tarehe 18-19 Agosti, 2024 katika Shule ya Sekondari Butengwa iliyopo Mtaa wa Butengwa Kata ya Ndembezi.
Wanaoitwa kwenye mafunzo wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo;-
- Kufika katika kituo vya mafunzo mapema saa 1: 30 asubuhi, mafunzo yataanza saa 8:00 asubuhi kwa wote.
- Kila mshiriki wa mafunzo anapaswa kuja na kitambulisho kinachoonesha majina, chenye picha yake halisi kwaajili ya utambuzi.
- Washiriki ambao hawatafika kwa muda uliopangwa hawataruhusiwa kuendelea na mafunzo pamoja na kushiriki zoezi la Uboreshaji Daftari.
Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika Tangazo hili wasisite kuomba tena pindi nafasi nyingine itakapo jitokeza.
Ni muhimu ratiba ya mafunzo na kituo kuzingatiwa watakao kwenda nje ya ratiba na kituo hawatopokelewa.
Orodha ya walioitwa kwenye Mafunzo /Kazini imeambatishwa kwenye PDF hapa chini;
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: KUITWA Kazini INEC Shinyanga Municipal Council August 2024