RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


LAMECK Elius Lawi ni Mnyama

Filed in Usajili, Michezo by on 20/06/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

LAMECK Elius Lawi ni Mnyama

LAMECK Elius Lawi ni Mnyama

LAMECK Elius Lawi ni Mnyama

LAMECK Elius Lawi ni Mnyama, Klabu ya Simba imetangaza kukamilisha usajili Mlinzi wa kati, Lameck Elius Lawi kwa mkataba wa miaka mitatu kukiwa na kipengele cha kuongeza mwaka mmoja akitokea Coastal Union ya Tanga.

Lawi ni kijana mwenye kipaji kikubwa na amekuwa ngome imara kwenye kikosi cha Coastal msimu uliopita na kitu kilichoivutia Simba kumsajili.

Usajili wa Lawi ni mkakati wa kuijenga Simba mpya yenye ushindani kuelekea msimu wa mashindano wa 2024/25.

Lawi mwenye umri wa miaka 18 na umbile refu anakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa katika kikosi Simba kuelekea msimu mpya wa Ligi.

Lameck Lawi licha ya umri wake mdogo lakini ni Mlinzi mwenye uwezo mkubwa aliyewavutia wapenzi wa mpira nchini Tanzania na nje ya mipaka ya nchi.

LAMECK Elius Lawi ni Mnyama

LAMECK Elius Lawi ni Mnyama

LAMECK Elius Lawi ni Mnyama

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.