LITA Majina ya Waliochaguliwa Kampasi za Wakala 2024/2025 Awamu ya Kwanza
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
LITA Majina ya Waliochaguliwa Kampasi za Wakala 2024/2025 Awamu ya Kwanza
LITA Majina ya Waliochaguliwa Kampasi za Wakala 2024/2025 Awamu ya Kwanza,Selection First Round 2024/2025, Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kampasi za Wakala wa Vyuo vya Mafunzo Ya Mifugo (LITA) Mwaka wa Masomo 2024/2025 – Awamu ya Kwanza.
ORODHA YA MAJINA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KAMPASI ZA WAKALA MWAKA WA MASOMO 2024/2025 – AWAMU YA KWANZA
NB: Unahitajika kutunza namba ya msimbo uliyopokea kutoka NACTVET kupitia namba ya simu ya mkononi uliyoweka wakati wa kutuma maombi ya kujiunga na Chuo.
LITA Majina ya Waliochaguliwa Kampasi za Wakala 2024/2025 Awamu ya Kwanza
Aidha, namba ya msimbo itatumika kwenye zoezi la usajili pindi utakaporipoti chuoni.
Tarehe ya kuripoti chuoni ni tarehe 07/10/2024:
Fomu ya mahitaji ya kujiunga na chuo (Joining Instruction) inapatikana kwenye tovuti ya Wakala ambayo ni www.lita.go.tz
TAFADHALI BOFYA HAPA KUPAKUA ORODHA YA MAJINA
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: LITA Majina ya Waliochaguliwa Kampasi za Wakala 2024/2025 Awamu ya Kwanza, Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kampasi za Wakala wa Vyuo vya Mafunzo Ya Mifugo (LITA) Mwaka wa Masomo 2024/2025 - Awamu ya Kwanza., Selection First Round 2024/2025