LIVE Droo ya CAF 2024/2025 Leo July 11-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
LIVE Droo ya CAF 2024/2025 Leo July 11-2024
LIVE Droo ya CAF 2024/2025 Leo July 11-2024,Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) litaendesha Droo ya Hatua za Awali za Msimu wa CAF 2024/25 Interclub Leo Alhamisi, Julai 11 Makao Makuu ya CAF huko Cairo, Misri.
Tazama droo hii moja kwa moja kwenye chaneli rasmi ya CAF ya YouTube Kwa , CAF TV Kuanzia 8:00 Mchana.
BONYEZA HAPA KUTAZAMA LIVE DROO HIYO
Droo ya Hatua ya Awali ya Ligi ya Mabingwa ya CAF ya TotalEnergies CAF na TotalEnergies Confederation Cup inaashiria kuanza rasmi msimu mwingine wa soka la vilabu Bora Afrika.
Kwa Michuano ya TotalEnergies CAF Champions League, jumla ya vilabu 59 vitashiriki kutoka nchi 47 za Afrika, huku Kombe la Shirikisho la CAF pia litakuwa na vilabu 52 vinavyowakilisha nchi 41.
Katika msimu uliopita, Mabingwa watetezi Al Ahly SC waliongeza mataji yao ya TotalEnergies CAF Champions League hadi rekodi ya kuongeza mara 12, huku wapinzani wao Zamalek wakitawazwa Mabingwa wa Kombe la Shirikisho la CAF kwa mara ya pili.
Kwa taratibu na ratiba rasmi za droo ya TotalEnergies CAF Champions League BOFYA HAPA
Kwa taratibu na ratiba rasmi za droo ya Kombe la Shirikisho la TotalEnergies CAF BOFYA HAPA
Kwa taarifa zaidi tembelea www.cafonline.com