LIVE Simba Day 2024 UBAYA UBWELA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
LIVE Simba Day 2024 UBAYA UBWELA
LIVE Simba Day 2024 UBAYA UBWELA, ile siku kubwa kwaajili ya mashabiki wa Simba imewadia ni tamasha kubwa zaidi la burudani Barani Afrika Simba Day 2024.
Takribani mashabiki 60,000 wataujaza uwanja wa Benjamin Mkapa leo kuishuhudia timu yao ambayo asilimia kubwa Ina Wachezaji wapya.
Aidha Kutakuwepo na mechi za utangulizi zitakazowahusisha wasanii, wakongwe na Simba Queens kabla ya tukio kubwa la utambulisho wa kikosi majira ya saa 11 jioni.
Mechi ya kuhitimisha tamasha hilo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 1:30 usiku dhidi ya APR FC ya Rwanda.
BONYEZA HAPA KUTAZAMA LIVE TAMASHA LA SIMBA DAY 2024.