MAANA ya Neno Ubaya Ubwela
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPAÂ WHATSAPP BOFYA HAPA
MAANA ya Neno Ubaya Ubwela
MAANA ya Neno Ubaya Ubwela, Ubaya Ubwela, Maana ya Ubaya Ubwela, Simba Ubaya Ubwela, Ubaya umerudi, Ubaya Umerejea.
UBAYA Maana yake ni ubaya kama tunavyojua kawaida.
UBWELA ni lugha ya kibantu ambayo mara nyingi wazaramo huwa wanatumia maana yake ni “Kurejea”
UBAYA UBWELA ni;
👉Simba Imerejea
👉Dewj amerejea
👉Magori amerejea
Wanaenda Kufanya UBAYA msimu huu
UBAYA Umerejea “UBAYA UBWELA ”