Mabadiliko ya Mahali pa Kufanyia Usaili wa Kuandika Kada za Afya
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
TANGAZO LA MABADILIKO YA MAHALI PA KUFANYIA USAILI WA KUANDIKA
KADA ZA AFYA ZANZIBAR- PEMBA (MDAs & LGAs)
Wasailiwa wote wa Kada za Afya (MDAs & LGAs) wanaotoka Pemba Kaskazini, Pemba
Kati na Pemba Kusini mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya mahali pa kufanyia usaili wa
Kuandika Usaili wa Kuandika utafanyika katika Chuo cha Institute of Public Administration (IPA) Tunguu (Unguja) badala ya Chuo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji- pemba kama
ilivyooneshwa Kwenye tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili la tarehe 28.08.2024 lenye
Kumb.Na. JA.9/259/01/B/24
Aidha, tarehe na muda wa usaili utabaki kama ulivyo kwenye tangazo la awali la kuitwa
kwenye usaili.
Soma Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK) Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao
Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti yetu www.ajira.go.tz
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Mabadiliko ya Mahali pa Kufanyia Usaili wa Kuandika Kada za Afya